Friday, December 25, 2020

RAIS DKT. MAGUFULI ASHIRIKI MISA TAKATIFU YA KRISMASI KATIKA KANISA LA BIKIRA MARIA IMAKULATA CHAMWINO IKULU MKOANI DODOMA LEO

RAIS DKT. MAGUFULI ASHIRIKI MISA TAKATIFU YA KRISMASI KATIKA KANISA LA BIKIRA MARIA IMAKULATA CHAMWINO IKULU MKOANI DODOMA LEO


 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli
akishiriki katika Misa Takatifu ya Krismasi katika Kanisa la Bikira
Maria Imakulata Chamwino Ikulu mkoani Dodoma leo Disemba 25, 2020

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe
Magufuli akipitisha kwa waumini kapu la sadaka aliposhiriki katika
Misa Takatifu ya Krismasi katika Kanisa la Bikira Maria Imakulata
Chamwino Ikulu mkoani Dodoma leo Disemba 25, 2020 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli
akisalimia waumini wenzie aliposhiriki katika Misa Takatifu ya
Krismasi katika Kanisa la Bikira Maria Imakulata Chamwino Ikulu mkoani
Dodoma leo Disemba 25, 2020

 

No comments :

Post a Comment