Naibu Waziri wa Maji, Mhandisi Maryprisca Mahundi akishiriki katika shughuli ya Ujenzi wa Tenki la kuhifadhia maji kwenye Mradi wa maji wa Bwawa la Matwiga wilayani Chunya katika Mkoa wa Mbeya mradi ambao unatarajiwa kuhudumia vijiji 16 wilayani humo.
No comments :
Post a Comment