Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi akimuapisha Bw.Suleiman Ahmed Saleh kuwa Katibu wa Rais wa Zanzibar hafla iliyofanyika leo ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (katikati) akimuapisha Bw.Suleiman Ahmed Saleh kuwa Katibu wa Rais wa Zanzibar hafla iliyofanyika leo ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar(kulia) Katibu wa Baraza la Mapinduzi pia katibu Kiongozi Dkt.Abdulamid Yahya Mzee
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (kushoto) akisalimiana na familia ya Bw.Suleiman Ahmed Saleh mara baada ya kumuapisha kuwa Katibu wa Rais wa Zanzibar hafla iliyofanyika leo ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar.Picha na Ikulu
No comments :
Post a Comment