Katibu
Mkuu wa Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii Jinsia, Wazee na
Watoto Profesa Mabula Mchembe akifungua Kongamano la Afya
nchini (Tanzania Health Summit) leo Novemba 25,2020 katika ukumbi wa
St. Gaspar Jijini Dodoma.
Katibu
Mkuu wa Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii Jinsia, Wazee na
Watoto Profesa Mabula Mchembe akifungua Kongamano la Afya
nchini (Tanzania Health Summit) leo Novemba 25,2020 katika ukumbi wa
St. Gaspar Jijini Dodoma. Picha na Kadama Malunde - Malunde 1 blog
Katibu
Mkuu wa Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii Jinsia, Wazee na
Watoto Profesa Mabula Mchembe akifungua Kongamano la Afya
nchini (Tanzania Health Summit) leo Novemba 25,2020 katika ukumbi wa
St. Gaspar Jijini Dodoma.
Katibu
Mkuu wa Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii Jinsia, Wazee na
Watoto Profesa Mabula Mchembe akifungua Kongamano la Afya
nchini (Tanzania Health Summit) leo Novemba 25,2020 katika ukumbi wa
St. Gaspar Jijini Dodoma.
Katibu
Mkuu wa Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii Jinsia, Wazee na
Watoto Profesa Mabula Mchembe akifungua Kongamano la Afya
nchini (Tanzania Health Summit) leo Novemba 25,2020 katika ukumbi wa
St. Gaspar Jijini Dodoma.
Wafanyakazi
wa Asasi ya kitaifa isiyo ya kiserikali ya Ariel Glaser Pediatric AIDS
Healthcare Initiative (AGPAHI) inayojihusisha na mapambano dhidi ya
Virusi Vya Ukimwi na Ukimwi wakiwa kwenye Kongamano la Afya jijini
Dodoma leo Novemba 25,2020.

Wadau wa afya wakiwa kwenye Kongamano la Afya jijini Dodoma leo Novemba 25,2020.
Katibu
Mkuu wa Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii Jinsia, Wazee na
Watoto Profesa Mabula Mchembe akifungua Kongamano la Afya
nchini (Tanzania Health Summit) leo Novemba 25,2020 katika ukumbi wa
St. Gaspar Jijini Dodoma.
Wadau wa afya wakiwa kwenye kongamano.
Wadau wa afya wakiwa kwenye kongamano la afya.
Mkurugenzi
wa Huduma za Afya, Ustawi wa Jamii na Lishe, Ofisi ya Rais, TAMISEMI,
Dk. Ntuli Kapologwe akizungumza kwenye Kongamano la Afya nchini
linalofanyika jijini Dodoma.
Mkurugenzi
wa Huduma za Afya, Ustawi wa Jamii na Lishe, Ofisi ya Rais, TAMISEMI,
Dk. Ntuli Kapologwe akizungumza kwenye Kongamano la Afya nchini
linalofanyika jijini Dodoma.
Wadau wa afya wakiwa kwenye Kongamano la Afya.
Wadau wa afya wakiwa ukumbini.
Mkurugenzi wa Tume ya Kikristo ya Huduma za Jamii, Peter Maduki akizungumza kwenye Kongamano la Afya.
Mkurugenzi wa Tume ya Kikristo ya Huduma za Jamii, Peter Maduki akizungumza kwenye Kongamano la Afya.
Viongozi mbalimbali wakiwa kwenye Kongamano la afya.
Wa
tatu kulia ni Katibu Mkuu wa Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii Jinsia,
Wazee na Watoto Profesa Mabula Mchembe akijiandaa kukabidhi vyeti kwa
washiriki wa Kongamano la afya.
Wa
tatu kulia ni Katibu Mkuu wa Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii Jinsia,
Wazee na Watoto Profesa Mabula Mchembe akimkabidhi Mwakilishi wa
Mkurugenzi wa Shirika la AGPAHI, Alio Hussein ambaye ni Meneja Mradi
AGPAHI mkoa wa Mara cheti cha Ushiriki wa Kongamano la Afya nchini
(Tanzania Health Summit).

Wa pili kulia ni Katibu Mkuu wa Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii Jinsia, Wazee na Watoto Profesa Mabula Mchembe akimkabidhi Mkurugenzi wa Huduma za Afya, Ustawi wa Jamii na Lishe, Ofisi ya Rais, TAMISEMI, Dk. Ntuli Kapologwe cheti cha Ushiriki wa Kongamano la Afya nchini (Tanzania Health Summit).
Katibu
Mkuu wa Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii Jinsia, Wazee na Watoto
Profesa Mabula Mchembe akipiga picha ya pamoja na washiriki wa Kongamano
la Afya.
Katibu
Mkuu wa Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii Jinsia, Wazee na Watoto
Profesa Mabula Mchembe akipiga picha ya pamoja na washiriki wa Kongamano
la Afya.
Wafanyakazi
wa AGPAHI wakipiga picha ya kumbukumbu na Mkurugenzi wa Huduma za Afya,
Ustawi wa Jamii na Lishe, Ofisi ya Rais, TAMISEMI, Dk. Ntuli Kapologwe
(wa tatu kulia).
Awali Meneja Mradi AGPAHI mkoa wa Mara (kushoto) , Alio Hussein akiwasili katika Kongamano la Afya.
Wafanyakazi wa AGPAHI wakiwa kwenye kongamano la afya.
Wafanyakazi wa AGPAHI wakiwa kwenye kongamano la afya.
Wadau wa afya wakiwa kwenye kongamano la afya.
Wadau wakiwa kwenye kongamano la afya
Picha zote na Kadama Malunde - Malunde 1 blog
Katibu
Mkuu wa Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii Jinsia, Wazee na Watoto
Profesa Mabula Nchembe amefungua Kongamano la 7 la Afya nchini
(Tanzania Health Summit) litakalojikita katika kujadili masuala
mbalimbali ya afya hasa katika kipindi hiki ambacho nchi imeingia katika
uchumi wa kati.
Kongamano
hilo litakalofanyika kwa muda wa siku mbili kuanzia leo Jumatano
Novemba 25,2020 hadi Novemba 26,2020 linafanyika katika Ukumbi wa St.
Gaspar jijini Dodoma limekutanisha pamoja wadau wa sekta ya Afya kutoka
taasisi za Umma,Mashirika ya dini na binafsi.
Asasi
ya kitaifa isiyo ya kiserikali ya Ariel Glaser Pediatric AIDS
Healthcare Initiative (AGPAHI) inayojihusisha na mapambano dhidi ya
Virusi Vya Ukimwi na Ukimwi ni Miongoni mwa wadau wa afya wanaoshiriki
katika Kongamano hilo linaloongozwa na Kauli Mbiu ya “Mafanikio ya
Uchumi wa Kati Katika Kuweka Afya Bora kwa Watanzania – Transforming The
Success of Middle – Income Economy Into a Healthier Nation)".
Akizungumza
wakati wa kufungua Kongamano hilo, Katibu Mkuu wa Wizara ya Afya,
Maendeleo ya Jamii Jinsia, Wazee na Watoto Profesa Mabula Mchembe
amesema licha ya maendeleo makubwa yaliyofikiwa na serikali katika
kuboresha huduma za afya kwa wananchi lakini bado kuna baadhi ya watu
wanashindwa kuvifikia vituo vya afya na kupata huduma za afya.
Kufuatia
changamoto hiyo, amewataka Wataalamu wa Sekta ya Afya nchini
kuhakikisha wanafikiria namna ya utoaji huduma bora na kwa gharama nafuu
ili wananchi wenye hali zote waweze kuzimudu.
“Naomba
mtumie kongamano hili kujadili ni namna gani tutoe huduma bora za afya,
namna gani tuboreshe vifaa, miundo mbinu katika hospitali zetu.Namna
gani tufanye ili kila mtu apate huduma za fya”,amesema Prof. Mchembe.
“Kupitia
kongamano hili tujadili na kutoa mapendekezo ya namna ya kuwasaidia
kupata huduma za afya watu wa hali ya chini wakiwemo wakulima ambao
hawawezi kufikia huduma za afya na hawana na bima za afya. Ni
vyema kuwaza vyema tunamsaidiaje mwananchi wa hali ya chini kupata
huduma bora, zenye unafuu na zinazofikika kila sehemu bila kumuumiza
mwananchi”,ameongeza Prof. Mchembe.
Hata
hivyo amesema Wizara ya Afya itaendelea kutoa ushirikiano kwa wadau
wote ili kufanikisha utoaji huduma bora na nafuu kwa wananchi na
kusisitiza kuwa ni muhimu mijadala itayoendelea katika Mkutano huo
kuhakikisha inapita kwenye malengo ya Wizara yakiwemo kupunguza vifo vya
mama na mtoto, kupunguza maambukizi ya VVU, TB, Ukoma.
Prof.
Mchembe amewataka Wataalamu hao kujadili masuala ya kupunguza magonjwa
yasiyo ya kuambukiza ambayo yanaongeza mzigo kwa Serikali kutokana na
gharama za kuyatibu magonjwa hayo.
Mkurugenzi
wa Huduma za Afya, Ustawi wa Jamii na Lishe, Ofisi ya Rais, TAMISEMI,
Dk. Ntuli Kapologwe amesema Serikali imefanya maboresho mengi katika
miaka saba iliyopita na kwamba kama wasimamizi wa Sera watahakikisha
maazimio yatakayotoka kwenye kikao hicho yanaingizwa kwenye mipango ya
utekelezaji kwenye Hospitali zote ngazi ya Wilaya, Halmashauri na
zahanati kwa utekelezaji zaidi.
No comments :
Post a Comment