Ushirika huo ni wa
aina yake kuanzishwa nchini Tanzania ambao ni tofauti na ushirika wa
fedha yaani SACCOSS tofauti ushirika wa mazao yaani Agriculture and
MarketingaCooperative Society( AMCOS) ambao umezoeleka.
Akizungumza
kuhusu ushirika huo, Jebhera amesema kwamba lengo lake ni kuwafikishia
huduma ya Mtandao watu milioni 20 ndani ya kipindi cha miaka mitano.
Amesisitiza
huo ni mwendelezo wa jitihada zake za kutumia teknolojia ya mawimbi ya
televisheni yaani "television white space" kwa ajili ya huduma ya
mtandao.
Matogoro amesema "Huu ni ushirika maalumu kwa ajili ya
vijana na ushirika huu utatoa fursa za ajira kwa vijana wetu na kwa
wananchi wote bila kujali viwango vya elimu zao wala fani zao.
Aliendelea
kufafanua zaidi na kwamba kwa wale ambao wanahitaji kumfahamu zaidi
huduma za mitandao hiyo ya ushirika wanaweza kutembea kwenye tovuti yao
inayotambulika kwa barua pepe www.tzcna.or.tz
No comments :
Post a Comment