Monday, October 5, 2020

WAZIRI MKUU KASSIM MAJALIWA, AKAGUA MAENDELEO YA UJENZI WA KIVUKO CHA MAFIA KIGAMBONI JIJINI DAR ES SALAAM



Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa, akipokea maelezo ya ujenzi wa
Kivuko cha Mafia, kitakachotoa huduma kati ya Nyamisati, wilayani
Kibiti na Kisiwa cha Mafia, kutoka kwa Kaimu Meneja – TEMESA, Mkoa wa
Pwani, Injinia Rehana Juma, wakati alipokagua maendeleo ya ujenzi wa
kivuko hicho, kwenye karakana ya Songoro Marine, iliyopo Kigamboni,
jijini Dar es salaam, Oktoba 5, 2020.

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa,
akifafanuliwa jambo na Mkurugenzi wa Ufundi, Kampuni ya Songoro
Marine, Khalid Songoro, wakati alipokagua maendeleo ya ujenzi wa
Kivuko cha Mafia, kitakachotoa huduma kati ya Nyamisati, wilayani
Kibiti na Kisiwa cha Mafia, kwenye karakana ya Songoro Marine, iliyopo
Kigamboni, jijini Dar es salaam, Oktoba 5, 2020.



Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa, akikagua maendeleo yaujenzi wa Kivuko cha Mafia, kitakachotoa huduma kati ya Nyamisati,
wilayani Kibiti na Kisiwa cha Mafia, kwenye karakana ya Songoro
Marine, iliyopo Kigamboni, jijini Dar es salaam, Oktoba 5, 2020.
Kivuko cha Mafia, kinachotegemea kuanza kutoa huduma mwezi ujao baada ya kukamilika kwa majaribio, kati ya Nyamisati, wilayani
Kibiti na Kisiwa cha Mafia, kinachotengenezwa na Kampuni ya Songoro
Marine, iliyopo Kigamboni, jijini Dar es salaam, Oktoba 5, 2020.

 

No comments :

Post a Comment