Muonekano wa Kituo Kikuu cha Mabasi cha Kisasa kinachojengwa eneo la Mbezi Louis jijini Dar es Salaam ambacho ujenzi wake umefikia asilimia 85. Eneo la Stendi hiyo ya Mabasi ina ukubwa wa mita za mraba 65,000, Stendi hii itakuwa na uwezo wa kuegesha Mabasi 1000,Taxi 280, Bodaboda, bajaji pia Stendi itakuwa na Zahanati, hoteli pamoja na sehemu ya kupumzikia Wasafiri.
No comments :
Post a Comment