Mkuu wa Mkoa wa Pwani Mhandisi Evarist Ndikilo akitoa
hotuba yake kwa viongozi na Wanachama wa chama cha Ushirika wa Wakulima
wa Umwagiliaji Ruvu(CHAURU) waliofika kumsikiliza wakati wa kufunga
maadhimisho ya pili ya siku ya CHAURU yaliyoendana na maonesho ya Bidhaa
za kilimo pamoja na mazao ya kilimo hicho kinachofanyika katika
ushirika huo.
Mwenyekiti
wa Bodi wa Chama cha Ushirika wa Wakulima wa Umwagiliaji Ruvu(CHAURU)
Sadala Chacha kizungumza kuhusu historia ya ushirika huo ulioanzishwa
mwaka 2002 pamoja na changamoto wanazozipata ndani na nje ya ushirika
huo wakati wakati wa kufunga
maadhimisho ya pili ya siku ya CHAURU yaliyoendana na maonesho ya Bidhaa
za kilimo pamoja na mazao ya kilimo hicho kinachofanyika katika
ushirika huo.
Mkuu wa Mkoa wa Pwani Mhandisi Evarist Ndikilo, viongozi
wa CHAURU, pamoja na wadau wa kilimo wakishuhudia uvunaji wa mpunga
katika moja ya shamba lililopo kwenye eneo la CHAURU wakati wa maadhimisho ya siku tatu ya Chama cha Ushirika wa Wakulima wa Umwagiliaji Ruvu(CHAURU).
Uvunaji wa mpunga ukiendelea
Baadhi ya mashamba ya mpunga yaliyopo katika eneo la CHAURU
Mkuu
wa Mkoa wa Pwani Mhandisi Evarist Ndikilo akiangalia mpunga mara baada
ya kutolewa shambani alipotembelea mashamba ya mpunga katika eneo la
CHAURU wakati wa kilele cha maadhimisho
ya pili ya siku ya Chama cha Ushirika wa Wakulima wa Umwagiliaji
Ruvu(CHAURU) itakayoedana na maonesho ya siku tatu kuanzia leo tarehe 08
hadi tarehe 10 Oktoba mwaka 2020
Muonekano wa mpunga mara baada ya kuvunwa kwenye moja ya shamba lililopo katika eneo la CHAURU
Mwenyekiti wa Bodi wa Chama cha Ushirika wa Wakulima wa Umwagiliaji Ruvu(CHAURU) Sadala Chacha akitolea ufafanuzi Mkuu
wa Mkoa wa Pwani Mhandisi Evarist Ndikilo kuhusu maji yanayotumika
kwenye shughuri za kilimo cha umwagiliaji katika shamba la CHAURU. Mkuu
wa mkoa huyo ametembela shamba hilo ili kujionea shughuri mbalimbali za
kilimo zinazofanyika katika shamba hilo.
Mkuu
wa Mkoa wa Pwani Mhandisi Evarist Ndikilo akiangalia mchele mara baada
ya kukobolewa kwenye kiwanda kilichopo katika eneo la CHAURU wakati
alipokuwa anatembelea na kujionea shughuri zinazofanyika katika eneo
hilo wakati wa kilele cha maadhimisho ya pili ya siku ya Chama cha Ushirika wa Wakulima wa Umwagiliaji Ruvu(CHAURU)
Baadhi ya mpunga ukisubiliwa kukobolewa kwenye kiwanda cha CHAURU
Mkuu
wa Mkoa wa Pwani Mhandisi Evarist Ndikilo akikagua shamba la nanasi
lililopokatika eneo la chamba la CHAURU wakati wa kutembelea shamba hilo
na kujionea shughuri zinazofanyika katika eneo hilo wakati wa kilele cha maadhimisho ya pili ya siku ya Chama cha Ushirika wa Wakulima wa Umwagiliaji Ruvu(CHAURU)
Meneja Ufundi wa Agricom Africa Ltd, Philipo William akitoa ufafanuzi kwa Mkuu wa Mkoa wa Pwani Mhandisi Evarist Ndikilo kuhusu
kampuni hiyo inavyowakopesha na kutoa mikopo ya vifaa vya kilimo vya
kisasa kwa wakulima ili kuweza kufikia malengo waliyojiwekea wakati wa
kilele cha maadhimisho ya pili ya siku
ya Chama cha Ushirika wa Wakulima wa Umwagiliaji Ruvu(CHAURU)
itakayoedana na maonesho ya siku tatu kuanzia leo tarehe 08 hadi tarehe
10 Oktoba mwaka 2020
Mkuu wa Mkoa wa Pwani Mhandisi Evarist Ndikilo akikagua baadhi ya bidhaa za Agricom Africa Ltd alipokuwa anatembelea mabanda ya wakulima pamoja na wadau wa kilimo wakati wa wakati wa kufunga maonesho ya
siku tatu kuanzia tarehe 08 hadi tarehe 10 Oktoba mwaka 2020 ikiwa ni
maadhimisho ya miaka 18 ya kuanzishwa kwa Ushirika huo Chalinze mkoani
Pwani.
Mkuu wa Mkoa wa Pwani Mhandisi Evarist Ndikilo akiangalia moja na bidhaa inayotumia kurutubisha aridhi alipokuwa anatembelea mabanda ya wakulima pamoja na wadau wa kilimo wakati wa wakati wa kufunga maonesho ya siku tatu kuanzia tarehe 08 hadi tarehe 10 Oktoba mwaka 2020
Mwenyekiti
wa The winners group, Winjuka Mashenene akifafanua kuhusu namna
walivyojipanga kama vijana kuwekeza kweneye kilimo kwa Mkuu wa Mkoa wa Pwani Mhandisi Evarist Ndikilo alipokuwa anatembelea baadhi ya mabanda mbalimbali wakati wa kufunga maonesho ya
siku tatu kuanzia tarehe 08 hadi tarehe 10 Oktoba mwaka 2020 ikiwa ni
maadhimisho ya miaka 18 ya kuanzishwa kwa Ushirika huo Chalinze mkoani
Pwani.Mkuu wa Mkoa wa Pwani Mhandisi Evarist Ndikilo akimsikiliza
Mratibu wa usambazaji wa teknolojia na mahusiano TARI-Dakawa, Fabiola
Langa apokuwa anatolea ufafanuzi kuhusu mbegu mbalimbali za mpunga
zinazoweza kuinua kilimo na namna ya mkulima kuzitumia mbegu hizo wakati
wa kufunga maonesho ya siku tatu kuanzia tarehe 08 hadi tarehe 10
Oktoba mwaka 2020 ikiwa ni maadhimisho ya miaka 18 ya kuanzishwa kwa
Ushirika huo Chalinze mkoani Pwani.
Meneja wa chama cha Ushirika wa Wakulima wa Umwagiliaji Ruvu(CHAURU) Victoria Olotu akitolea ufafanuzi kwa Mkuu wa Mkoa wa Pwani Mhandisi Evarist Ndikilo kuhusu
mchele pamoja na Korosho zinazolimwa katika hilo alipokuwa
anatembelea baadhi ya mabanda mbalimbali kwenye maonesho yatakayofanyika
kwa siku tatu kuanzia tarehe 08 hadi tarehe 10 Oktoba, 2020.Baadhi
ya Wanachama wa chama cha Ushirika wa Wakulima wa Umwagiliaji
Ruvu(CHAURU) pamoja na wananchi wakifuatilia hotuba ya mgeni rasmi Mkuu
wa Mkoa wa Pwani Mhandisi Evarist Ndikilo wakati wa ufungaji wa wa
maadhimisho ya pili ya siku ya CHAURU yaliyoanza taehe 08 hadi leo taehe
Oktoba 10, 2010. Mkuu
wa Mkoa wa Pwani Mhandisi Evarist Ndikilo akitoa zawadi kwa wadau
mbalimbali wa kilimo wa wakati wa ufungaji wa wa maadhimisho ya pili ya
siku ya CHAURU yaliyoanza taehe 08 hadi leo taehe Oktoba 10, 2010.
Mkuu
wa Mkoa wa Pwani Mhandisi Evarist Ndikilo tuzo ya shukrani kutoka
kwauongozi wa chama cha Ushirika wa Wakulima wa Umwagiliaji Ruvu(CHAURU)
wa wakati wa ufungaji wa maadhimisho ya pili ya siku ya CHAURU
yaliyoanza taehe 08 hadi leo taehe Oktoba 10, 2010.
Mkuu
wa Mkoa wa Pwani Mhandisi Evarist Ndikilo akionesha tuzo ya shukrani
aliyopewa na uongozi wa CHAURU kwa kuweza kuwahamasiha kulia kilimo cha
kisasa ili kufikia malengo waliyojiwekea kama ushirika wakati wa
ufungaji wa wa maadhimisho ya pili ya siku ya CHAURU yaliyoanza taehe 08
hadi leo taehe Oktoba 10, 2010.
Mkuu
wa Mkoa wa Pwani Mhandisi Evarist Ndikilo akipokea zawadi mbalimbali
kutoka kwa wakulima wa chama cha Ushirika wa Wakulima wa Umwagiliaji
Ruvu(CHAURU) wa wakati wa ufungaji wa wa maadhimisho ya pili ya siku ya
CHAURU yaliyoanza taehe 08 hadi leo taehe Oktoba 10, 2010.
Mkuu wa Mkoa wa Pwani Mhandisi Evarist Ndikilo akiwa
kwenye picha za pamoja na viongozi, wanachama na wadau wa kilimo wakati
wa kufunga maadhimisho ya siku tatu ya Chama cha Ushirika wa Wakulima
wa Umwagiliaji Ruvu(CHAURU).
Uwekezaji wa teknolojia ya kisasa utachangia uzalishaji wa mazao ya kutosha
na kukuza uchumi wa kipato kwa wakulima wa bonde la umwagiliaji la Ruvu wilayani Bagamoyo. Hayo yamesemwa na Mkuu wa Mkoa wa Pwani Mhandisi Evarist Ndikilo alipokuwa akizungumza na wanachama wa Chama cha Wakulima wa Umwagiliaji katika bonde la Ruvu (CHAURU) Jumamosi ya tarehe 10 Oktoba .Mhandisi Ndikilo akitembelea maeneo mbalimbali ya kilimo cha mpunga, korosho na nanasi katika bonde hilo amefurahishwa na jitihada za wakulima wadogo wadogo za kutaka kujikwamua na umasikini wa kipato na kuwaomba wadau mbalimbali wenye uwezo wa kifedha kuwasaidia kwa kuwekeza katika kilimo cha kisasa zaidi, na hasa matumizi ya zana na pembejeo bora za kilimo.
Amesisitiza kuwa serikali itakuwa bega kwa bega na chama hicho ili kuhakikisha kuwa changamoto mbalimbali zinazowakabili zinatafutiwa ufumbuzi kwa haraka. Ameiagiza serikali ya wilaya kwa kushirikiana na tarura kuboresha miundombinu ya barabara ili zipitike mwaka mzima lengo likiwa ni kurahisisha ubebaji wa mazao na zana za kilimo.
Ili kuboresha miundombinu ya umwagiliaji Mkuu wa Mkoa amesema ameshawasiliana na ubalozi wa China na wao wameahidi kuwa wako tayari kufanya ukarabati. I kumbukwe kuwa serikali ya China ndiyo ilijenga miundombinu ya umwagiliaji wa bonde la Ruvu.
CHAURU ilikuwa ikiazimisha miaka 18 tangu kuanzishwa kwa ushirika wa wakulima wa umwagiliaji katika bonde la mpunga la Ruvu. Maadhimisho hayo yaliyofanyika kwa siku tatu yameendana na maonesho ya bidhaa na zana za kilimo kutoka kwa wadau mbalimbali.
No comments :
Post a Comment