Mwenyekiti wa Kikosi kazi cha
Kitaifa cha Uandaaji wa Mpango wa utekelezaji wa Mwongozo wa Hiari wa
kuhakikisha Uvuvi Mdogo Unakuwa Endelevu, Alhaj Yahya Ibrahim Mgawe
akitoa neno la utangulizi kabla ya kumkaribisha mgeni rasmi kufungua
warsha ya Uandaaji wa Mpango huo iliyofanyika kwenye Halmashauri ya
Manispaa ya Kigoma Ujiji leo mkoani Kigoma.

Mwakilishi wa Mkurugenzi wa
Halmashauri ya Manispaa ya Kigoma Ujiji, Bw.Ferdinand Filimbi akifungua
warsha ya uandaaji wa Mpango wa utekelezaji wa Mwongozo wa Hiari wa
kuhakikisha Uvuvi Mdogo Unakuwa Endelevu iliyofanyika kwenye Halmashauri
ya Manispaa ya Kigoma Ujiji leo mkoani Kigoma.
Bi. Upendo Hamidu akiwasilisha
mada kwenye warsha ya uandaaji wa Mpango wa utekelezaji wa Mwongozo wa
Hiari wa Kuhakikisha Uvuvi Mdogo Unakuwa Endelevu iliyofanyika kwenye
Halmashauri ya Manispaa ya Kigoma Ujiji leo mkoani Kigoma.
Baadhi ya washiriki wa warsha ya
uandaaji wa Mpango wa utekelezaji wa Mwongozo wa Hiari wa Kuhakikisha
Uvuvi Mdogo Unakuwa Endelevu wakifuatilia uwasilishwaji wa mada kwenye
warsha hiyo iliyofanyika kwenye Halmashauri ya Manispaa ya Kigoma Ujiji
leo mkoani Kigoma.

Kikosi kazi cha kitaifa cha
uandaaji wa Mpango wa utekelezaji wa Mwongozo wa Hiari wa kuhakikisha
Uvuvi Mdogo Unakuwa Endelevu kwenye picha ya pamoja na baadhi ya
watumishi wa Wizara ya Mifugo na Uvuvi na Wakuu wa Idara zilizo chini ya
Halmashauri ya Manispaa ya Kigoma Ujiji,Halmashauri ya Wilaya ya Kigoma
na wawakilishi kutoka FETA na Benki mara baada ya ufunguzi rasmi wa
warsha ya ukusanyaji maoni ya utekelezaji wa Mpango huo iliyofanyika
leo mjini Kigoma.
No comments :
Post a Comment