Wednesday, September 2, 2020

TMDA YAIBUKA MSHINDI WA PILI KWENYE MAONESHO YA BIASHARA YA AFRIKA MASHARIKI


********************************
TMDA yaibuka mshindi wa pili wa Jumla na kukabidhiwa kikombe cha ushindi katika maonesho ya Biashara ya Afrika Mashariki yanayofanyika jijini Mwanza tarehe 28 hadi 5 Septemba 2020.
TMDA inashiriki katika maonesho hayo kwa lengo la kutoa elimu juu ya udhibiti wa
ubora, usalama na ufanisi wa dawa, vifaa tiba na vitendanishi.
Katika maonesho haya hamasa kubwa imewekwa katika umuhimu wa utoaji taarifa juu ya madhara yatokanayo na matumizi ya dawa ma vifaa tiba.

No comments :

Post a Comment