Afisa Mdhibiti wa Viwango wa NBAA, Bertha Kipangula (kushoto) akimuonyesha gharama mpya za ada ya mitihani ya Bodi iliyoanza tarehe 01, Julai 2020, mwananchi aliyetembelea banda la NBAA katika
maonesho ya 15 ya vyuo vikuu yaliyoandaliwa na Tume ya Vyuo Vikuu
nchini(TCU) yanayoendelea katika viwanja vya Mnazi Mmoja jijini Dar Es
Salaam.
Msaidizi
wa Uhasibu wa NBAA, David Iman akitoa elimu kuhusu namna ya kufanya
mitihani ya Bodi kwa Francis Kikoti pamoja na Living Mhina walipotembelea
banda la Bodi ya Taifa ya Wahasibu na Wakaguzi wa Hesabu
Tanzania(NBAA) katika maonesho ya 15 ya vyuo vikuu yaliyoandaliwa na
Tume ya Vyuo Vikuu nchini(TCU) yanayoendelea katika viwanja vya Mnazi
Mmoja jijini Dar Es Salaam.
Afisa Utafiti kutoka Bodi
ya Taifa ya Wahasibu na Wakaguzi Hesabu Tanzania(NBAA), Michael
Mwakifuna(kulia) akiwafafanulia muundo wa mitihani ya Bodi Albert Mwesi
na Deogratus Jimmy walipotembelea
banda la Bodi ya Taifa ya Wahasibu na Wakaguzi wa Hesabu Tanzania
(NBAA) katika maonesho ya 15 ya vyuo vikuu yaliyoandaliwa na Tume ya
Vyuo Vikuu nchini(TCU) yanayoendelea katika viwanja vya Mnazi Mmoja
jijini Dar Es Salaam.
Afisa Masoko na Mawasiliano wa NBAA Magreth Kageya(kulia) akitoa elimu kwa wanafunzi Albert Mwesi na Deogratus Jimmy walipotembelea
banda la Bodi ya Taifa ya Wahasibu na Wakaguzi Hesabu Tanzania (NBAA)
katika maonesho ya 15 ya vyuo vikuu yaliyoandaliwa na Tume ya Vyuo Vikuu
nchini(TCU) yanayoendelea katika viwanja vya Mnazi Mmoja jijini Dar Es
Salaam. Wa pili kulia ni Afisa Utafiti kutoka Bodi ya Taifa ya Wahasibu na Wakaguzi wa Hesabu Tanzania(NBAA), Michael Mwakifuna .
Msaidizi
wa Uhasibu wa NBAA, David Iman(kushoto) pamoja na Afisa Mdhibiti wa
Viwango wa Hesabu wa NBAA, Bertha Kipangula(katikati) wakimsikiliza mzee
Robert Muhina alipokuwa anauliza maswali kuhusu kazi mbalimbali
zinazofanywa na Bodi alipotembelea banda
la Bodi ya Taifa ya Wahasibu na Wakaguzi wa Hesabu Tanzania(NBAA) katika
maonesho ya 15 ya vyuo vikuu yaliyoandaliwa na Tume ya Vyuo Vikuu
nchini(TCU) yanayoendelea katika viwanja vya Mnazi Mmoja jijini Dar Es
Salaam.
Afisa Utafiti kutoka Bodi ya Taifa ya Wahasibu na Wakaguzi wa Hesabu Tanzania(NBAA), Michael Mwakifuna akiwafafanulia muundo wa mitihani ya Bodi kwa Albert Mwesi na Deogratus Jimmy walipotembelea
banda la Bodi ya Taifa ya Wahasibu na Wakaguzi wa Hesabu Tanzania
(NBAA) katika maonesho ya 15 ya vyuo vikuu yaliyoandaliwa na Tume ya
Vyuo Vikuu nchini(TCU) yanayoendelea katika viwanja vya Mnazi Mmoja
jijini Dar Es Salaam. Kulia ni Afisa Masoko na Mawasiliano wa NBAA Magreth Kageya.
Msaidizi
wa Uhasibu wa NBAA, David Iman(kulia) akimuonyesha gharama mpya za
mitihani ya Bodi kwa afisa wa Chuo cha Ushirika Moshi alipotembelea
banda la Bodi ya Taifa ya Wahasibu na Wakaguzi Hesabu Tanzania(NBAA)
katika maonesho ya 15 ya vyuo vikuu yaliyoandaliwa na Tume ya Vyuo Vikuu
nchini(TCU) yanayoendelea katika viwanja vya Mnazi Mmoja jijini Dar Es
Salaam.
Afisa Mdhibiti wa Viwango wa NBAA, Bertha Kipangula(kulia) akitoa ufafanuzi kuhusu ufanyaji wa mitihani ya Bodi kwa Afisa wa Chuo cha Ushirika Moshi alipotembelea
banda la Bodi ya Taifa ya Wahasibu na Wakaguzi Hesabu Tanzania(NBAA)
katika maonesho ya 15 ya vyuo vikuu yaliyoandaliwa na Tume ya Vyuo Vikuu
nchini(TCU) yanayoendelea katika viwanja vya Mnazi Mmoja jijini Dar Es
Salaam. Msaidizi wa Uhasibu wa NBAA, David Iman.
Msaidizi wa Uhasibu wa NBAA, David Iman(kushoto) akitoa elimu kuhusu NBAA kwa Mussa Shaban alipotembelea
banda la Bodi ya Taifa ya Wahasibu na Wakaguzi wa Hesabu Tanzania(NBAA)
katika maonesho ya 15 ya vyuo vikuu yaliyoandaliwa na Tume ya Vyuo
Vikuu nchini(TCU) yanayoendelea katika viwanja vya Mnazi Mmoja jijini
Dar Es Salaam.
No comments :
Post a Comment