
Msajili wa Bodi wa Wahandisi nchini (ERB), Eng. Patrick Barozi akifafanua jambo alipokagua mradi wa ujenzi wa barabara katika mji wa Serikali Mtumba mkoani Dodoma.

Muonekano wa barabara zinazojengwa kwa kiwango cha lami katika mji wa Serikali Mtumba mkoani Dodoma.
Muonekano wa kalvat linalojengwa kuunganisha barabara za mzunguko katika mji wa Serikali Mtumba mkoani Dodoma.
Mtaalam
wa ujenzi wa viwanja vya ndege eng. Focus Kadeghe akifafanua jambo kwa
wahandisi kutoka Bodi ya Usajili wa wahandisi nchini (ERB), walipokagua
ukarabati wa kiwanja cha ndege cha Dodoma.
No comments :
Post a Comment