Katibu
Mtendaji Tume ya Vyuo Vikuu Tanzania (TCU), Prof.Charles Kihampa
akifuatilia maelekezo kutoka kwa mtaalamu wa Chuo Kikuu cha Dar es
Salaam baada ya kutembelea banda la Chuo hicho kwenye Maonesho ya Vyuo
Vikuu katika Viwanja vya Mnazi Mmoja Jijini Dar es Saam.
Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira)
Mhe. Mussa Azzan Zungu akifuatilia maelekezo kutoka kwa mtaalamu wa
Chuo Kikuu cha Dar es Salaam baada ya kutembelea banda la Chuo hicho
kwenye Maonesho ya Vyuo Vikuu katika Viwanja vya Mnazi Mmoja Jijini Dar
es Saam Wanafunzi
mbalimbali wakifuatilia maelekezo kutoka kwa wataalamu wa Chuo Kikuu
cha Dar es Salaam baada ya kutembelea banda la Chuo hicho kwenye
Maonesho ya Vyuo Vikuu katika Viwanja vya Mnazi Mmoja Jijini Dar es Saam
ili kuweza kujisajili na kujiunga na Vyuo hivyo
Wanafunzi mbalimbali wakipata msaada wa usajili kutoka kwa Wataalamu
Chuo Kikuu cha Dar es Salaam ili kuweza kujiunga na Elimu ya Vyuo Vikuu.
Wanafunzi wamejitokeza katika Maonesho ya Vyuo Vikuu kwenye Viwanja vya
Mnazi Mmoja ili kuweza kupata msaada wa kujisajili.
PICHA NA CHUO KIKUU CHA DAR ES SALAAM
No comments :
Post a Comment