MGENI
Rasmi katika hafla ya uzinduzi wa Mfumo wa kutoa Maoni kwa njia ya
Kidigitali QR, Mhe. Ussi Salum Pondeza (wa pili kulia) akikata utepe
ikiwa ni ishara ya ufunguzi wa mfumo huo, katika hafla fupi iliyofanyika
kwenye Tawi la Benki ya CRDB Zanzibar, Kisiwandui Mjini Unguja. Wapili
kulia ni Meneja wa Benki ya CRDB Kanda ya Pwani, Badru Idd.
Meneja
wa Benki ya CRDB Kanda ya Pwani, Badru Idd, akizungumza wakati wa hafla
ya uzinduzi wa Mfumo wa kutoa Maoni kwa njia ya Kidigitali QR. Hafla
iliofanyika katika ofisi za tawi hilo Kisiwandui Mjini Unguja.
Mgeni
Rasmi katika hafla ya uzinduzi wa Mfumo wa kutoa Maoni kwa njia ya
Kidigitali QR. Mhe. Ussi Salum Pondeza, akizungumza na mawakala, wakati
wa hafla hiyo iliyofanyika katika ofisi za tawi hilo Kisiwandui Mjini
Unguja.
Mgeni
Rasmi katika hafla ya uzinduzi wa Mfumo wa kutoa Maoni kwa njia ya
Kidigitali QR. Mhe. Ussi Salum Pondeza, akijaribu kujiunga kwa kutumia
simu yake ya mkononi ili aweze kutoa maoni yake kwa njia ya Kidigitali.
Baadhi ya wafanyakazi wa Benki hiyo na Mawakala wakifatilia.

Pages
Subscribe to:
Post Comments
(
Atom
)
No comments :
Post a Comment