Tanzania
imeondoa marufuku ya safari za ndege za Kenya kuingia kwenye anga lake
iliyokuwa imeiweka baada ya nchi ya Kenya kuondoa sharti la kuwaweka
karantini siku 14 Watanzania wote wanaoingia nchini humo.
Taarifa hii imetolewa na Mkurugenzi Mkuu wa TCAA Hamza Johari.
Taarifa hii imetolewa na Mkurugenzi Mkuu wa TCAA Hamza Johari.

No comments :
Post a Comment