Mgeni
Rasmi na Mwenyekiti wa Bodi ya Baraza la Kiswahili la Taifa (BAKITA),
Dkt. Method Samuel akisisitiza jambo kwa washiriki wa semina ya
Usanifishaji wa Istilahi za Mazingira iliyofanyika leo jijini Dar es
Salaam.
Mgeni Rasmi na Mwenyekiti wa Bodi
ya Baraza la Kiswahili la Taifa (BAKITA), Dkt. Method Samuel akisisitiza
jambo kwa washiriki wa semina ya Usanifishaji wa Istilahi za Mazingira
(hawapo pichani) iliyofanyika leo jijini Dar es Salaam, kushoto ni Kaimu
Katibu Mtendaji wa BAKITA, Bi. Consolata Mushi.
Mkurugenzi Msaidizi wa Maendeleo
ya Sanaa toka Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Bi. Leah
Kihimbi akichangia mada wakati wa semina ya Usanifishaji wa Istilahi za
Mazingira iliyofanyika leo jijini Dar es Salaam.
Afisa Sheria Mkuu toka Baraza la
Taifa la Hifadhi na Usimamizi wa Mazingira (NEMC), Bi. Angela Kileo
akichangia mada wakati wa semina ya Usanifishaji wa Istilahi za
Mazingira iliyofanyika leo jijini Dar es Salaam.
Wadau wa lugha ya Kiswahili
wakiendelea na majadiliano wakati wa semina ya Usanifishaji wa Istilahi
za Mazingira iliyofanyika leo jijini Dar es Salaam.
Wadau wa lugha ya Kiswahili wakiwa
katika picha ya pamoja na Mgeni Rasmi na Mwenyekiti wa Bodi ya Baraza
la Kiswahili la Taifa (BAKITA), Dkt. Method Samuel (aliyevaa tai) mara
baada ya kumaliza semina ya Usanifishaji wa Istilahi za Mazingira
iliyofanyika leo jijini Dar es Salaam.
Picha na WHUSM – Dar es Salaam.
11/09/2020
No comments :
Post a Comment