Saturday, July 4, 2020

WIZARA YA VIWANDA NA BIASHARA KWENYE MAONESHO YA 44 YA KIMATAIFA SABASABA KATIKA VIWANJA VYA MWALIMU NYERERE JIJINI DAR ES SALAAM



Naibu Waziri Wizara ya Viwanda na Biashara, Mhe. Mhandisi Stella Manyanya akizungumza Jambo na Katibu Mkuu Wizara ya Viwanda na Biashara aliyesimama na wakuu wa taasisi zilizo chini ya Wizara katika maonesho ya Sabasaba 2020.
Watumishi wa Wizara ya Viwanda na Biashara wakiwa tayari kuwahudumia wananchi waliofika Sabasaba 2020.
Waziri wa Viwanda na Biashara, Mhe. Innocent Bashungwa akiangalia mvinjo unaotengenezwa na wajasiriamali katika banda la Wizara ya Viwanda na Biashara, Pembeni ni Kaimu Mkurugenzi Idara ya Maendeleo ya Biashara ndugu Wilson Malosha.

No comments :

Post a Comment