Monday, July 6, 2020

MAKAMU WA RAIS MHE. SAMIA AMUWAKILISHA RAIS DKT. MAGUFULI MALAWI



Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na baadhi ya Viongozi wa Ofisi ya Ubalozi wa Tanzania alipowasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa Kamuzu Nchini Malawi kwa ajili ya kumuwaklilisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli kwenye sherehe ya kuapishwa Rais Mpya wa Malawi  Mhe. Lazarus Chakwera  leo Julai 06,2020.

No comments :

Post a Comment