Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa
akikata utepe kuzindua jengo la Mpanda Plaza ambalo ni kitegauchumi cha
Shirika la Taifa la Nyumba (NHC), mjini Mpanda, Julai 4, 2020. Wa pili
kulia ni Waziri wa Ujenzi, Mawasiliano na Uchukuzi, Mhandisi Isack
Kamwelwe, kulia ni Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi,
Angelina Mabula, kushoto ni Mkuu wa Mkoa wa Katavi Juma Homela na
wapili kushoto ni Mkurugenzi Mkuu wa NHC, Dkt. Maulid Banyani.
Jengo la Mpanda Palaza ambalo ni
kitegauchumi cha Shirika la Taifa la Nyumba (NHC) limezinduliwa na
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa mjini Mpanda, Julai 4, 2020. (Picha na
Ofisi ya Waziri Mkuu)
No comments :
Post a Comment