Katibu
mkuu wizara ya kilimo Gerald Kusaya akikaua maghala pamoja na
kuzungumza na watumishi katika wizara hiyo mara baada ya kufika eneo la
ujenzi wa maghala hayo kanda ya Makambako.
Maghala yanayojengwa katika kanda hiyo ya Makambako mkoani Njombe.
Baadhi ya nafaka zilizohifadhiwa katika maghala hayo ya kanda ya Makambako.
Kaimu meneja wakala wa taifa wa hifadhi ya chakula mkoa wa Njombe na Iringa NFRA Frank Felix akitoa taarifa ya ujenzi wa maghala
Eng.Pedon Mushobozi akitoa taarifa ya ujenzi mbele ya katibu mkuu wizara ya kilimo.








No comments :
Post a Comment