Waziri wa Maliasili na Utalii Dkt. Hamisi Kigwangalla akifungua mafunzo
ya kuwajengea uwezo wa utayari wa kupokea watalii watumishi wa taasisi
zinazotoa huduma katika uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere
(JNIA) wakati huu wa janga la Corona leo jijini Dar es salaam.
Washiriki wa mafunzo ya utayari wa kupokea watalii taasisi zinazotoa
huduma katika uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA)
wakati huu wa janga la Corona wakiwa katika picha ya pamoja na Waziri wa
Maliasili na Utalii Dkt. Hamisi Kigwangalla na Balozi wa Ujereumani
nchini Tanzania, Regina Hess mara baada ya ufunguzi wa mafunzo hyayo
leo jijini Dar es salaam.
Mkurugenzi wa Udhibiti wa Uchumi kutoka Mamlaka ya Viwanja vya Ndege
Tanzania (TCAA), Bw. Danny Mallanga ( kushoto) akimweleza jambo Waziri
wa Maliasili na Utalii Dkt. Hamisi Kigwangalla (kulia) mara baada ya
ufunguzi wa mafunzo ya kuwajengea uwezo wa utayari wa kupokea watalii
watumishi wa taasisi zinazotoa huduma katika uwanja wa ndege wa
Kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA) wakati huu wa janga la Corona leo
jijini Dar es salaam.
Mkurugenzi wa Udhibiti wa Uchumi kutoka Mamlaka ya Viwanja vya Ndege
Tanzania (TCAA), Bw. Danny Mallanga akizungumza na washiriki wa mafunzo
ya utayari wa kupokea watalii watumishi wa taasisi zinazotoa huduma
katika uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA) leo jijini
Dar es salaam.
Waziri wa Maliasili na Utalii Dkt. Hamisi Kigwangalla (kushoto)
akimweleza jambo Balozi wa Ujerumani nchini Tanzania, Regina Hess wakati
wa mafunzo ya kuwajengea uwezo wa utayari wa kupokea watalii watumishi
wa taasisi zinazotoa huduma katika uwanja wa ndege wa Kimataifa wa
Julius Nyerere (JNIA) wakati huu wa janga la Corona leo jijini Dar es
salaam.
Balozi wa Ujerumani nchini Tanzania, Regina Hess akizungumza wakati wa
ufunguzi wa mafunzo ya kuwajengea uwezo wa utayari wa kupokea watalii
watumishi wa taasisi zinazotoa huduma katika uwanja wa ndege wa
Kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA) wakati huu wa janga la Corona leo
jijini Dar es salaam. Ujerumani imekua ikiunga mkono juhudi za Serikali
kwa kufadhili mafunzo hayo katika maeneo mbalimbali.
Baadhi ya washiriki wa mafunzo ya utayari wa kupokea watalii kutoka
katika taasisi zinazotoa huduma ya kuypokea watalii katika uwanja wa
ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA) wakati huu wa janga la
Corona wakifuatilia mada mbalimbali leo jijini Dar es salaam.
Waziri
wa Maliasili na Utalii Dkt. Hamisi Kigwangalla (kushoto) akifurahia
jambo Balozi wa Ujerumani nchini Tanzania, Regina Hess wakati wa
mafunzo ya kuwajengea uwezo wa utayari wa kupokea watalii watumishi wa
taasisi zinazotoa huduma katika uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Julius
Nyerere (JNIA) wakati huu wa janga la Corona leo jijini Dar es salaam.
Picha/ Aron Msigwa – WMU
No comments :
Post a Comment