Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa
Hesabu za Serikali (CAG), Bw.Charles Kichere (kulia) akisikiliza
maelezo kutoka kwa Janet Ezekiel Afisa Mkuu wa Elimu na Masoko wa Mfuko wa Hifadhi ya Jamii (NSSF)
alipotembelea banda hilo katika Maonesho ya 44 ya Biashara ya Dar es
Salaam(SABASABA) yanayofanyika katika Viwanja vya Mwl.Julius Nyerere
barabara ya Kilwa Jijini Dar es Salaam.
Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa
Hesabau za Serikali (CAG), Bw.Charles Kichere (kulia) akisaini kitabu
cha wageni katika banda ya Mfuko wa Hifadhi ya Jamii (PSSSF)
alipotembelea banda hilo katika Maonesho ya 44 ya Biashara ya Dar es
Salaam(SABASABA) yanayofanyika katika Viwanja vya Mwl.Julius Nyerere
barabara ya Kilwa Jijini Dar es Salaam.
Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa
Hesabau za Serikali (CAG), Bw.Charles Kichere (kulia aliyekaa)
akijadili jambo na Maafisa kutoka Mfuko wa Hifadhi ya Jamii (PSSSF)
alipotembelea banda hilo katika Maonesho ya 44 ya Biashara ya Dar es
Salaam(SABASABA) yanayofanyika katika Viwanja vya Mwl.Julius Nyerere
barabara ya Kilwa Jijini Dar es Salaam.
Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa
Hesabau za Serikali (CAG), Bw.Charles Kichere akisaini kitabu cha
wageni alipowasili katika Banda la Wizara ya Fedha kutembelea Taasisi
mbalimbali zilizoko katika banda hilo katika Maonesho ya 44 ya Biashara
ya Dar es Salaam (SABASABA) yanayofanyika katika Viwanja vya Mwl.Julius
Nyerere barabara ya Kilwa Jijini Dar es Salaam.
Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa
Hesabau za Serikali (CAG), Bw.Charles Kichere( wa pili kulia)
akifafanua jambo kwa Afisa kutoka Mfumo wa Malipo wa Serikali (GePG)
alipotembelea banda hilo lililoko katika Banda la Wizara ya Fedha na
Mipango katika Maonesho ya 44 ya Biashara ya Dar es Salaam(SABASABA)
yanayofanyika katika Viwanja vya Mwl.Julius Nyerere barabara ya Kilwa
Jijini Dar es Salaam.
Afisa Mipango kutoka Mamlaka ya
Masoko ya Mitaji na Dhamana(CMSA), David Magabe akieleza jambo kwa
Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabau za Serikali (CAG), Bw.Charles
Kichere(mwenye kofia), alipotembelea banda hilo lililoko katika Banda
la Wizara ya Fedha na Mipango katika Maonesho ya 44 ya Biashara ya Dar
es Salaam(SABASABA) yanayofanyika katika Viwanja vya Mwl.Julius Nyerere
barabara ya Kilwa Jijini Dar es Salaam.
Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa
Hesabau za Serikali (CAG), Bw.Charles Kichere(Kushoto), akisikiliza
maelezo kutoka kwa Afisa wa Chuo cha Usimamizi wa Fedha (IFM)
alipotembelea banda hilo lililoko katika Banda la Wizara ya Fedha na
Mipango katika Maonesho ya 44 ya Biashara ya Dar es Salaam(SABASABA)
yanayofanyika katika Viwanja vya Mwl.Julius Nyerere barabara ya Kilwa
Jijini Dar es Salaam.
Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa
Hesabau za Serikali (CAG), Bw.Charles Kichere(mwenye kofia),
akisikiliza maelezo kutoka kwa Afisa wa Chuo cha Uhasibu Tanzania(TIA)
alipotembelea banda hilo lililoko katika Banda la Wizara ya Fedha na
Mipango katika Maonesho ya 44 ya Biashara ya Dar es Salaam(SABASABA)
yanayofanyika katika Viwanja vya Mwl.Julius Nyerere barabara ya Kilwa
Jijini Dar es Salaam.
Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa
Hesabau za Serikali (CAG), Bw.Charles Kichere(mwenye kofia), akiwaaga
Maafisa kutoka Chuo cha Uhasibu Tanzania(TIA) mara baada ya kutembelea
banda hilo lililoko katika Banda la Wizara ya Fedha na Mipango katika
Maonesho ya 44 ya Biashara ya Dar es Salaam(SABASABA) yanayofanyika
katika Viwanja vya Mwl.Julius Nyerere barabara ya Kilwa Jijini Dar es
Salaam.
Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa
Hesabau za Serikali (CAG), Bw.Charles Kichere (kulia) akifurahia jambo
na Maafisa wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) alipotembelea banda hilo
katika Maonesho ya 44 ya Biashara ya Dar es Salaam(SABASABA)
yanayofanyika katika Viwanja vya Mwl.Julius Nyerere barabara ya Kilwa
Jijini Dar es Salaam.
Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa
Hesabau za Serikali (CAG), Bw.Charles Kichere (mwenye fulana ya Blue),
akiwasikiliza wajasiriamali wanaodhaminiwa na Benki ya Biashara Tanzania
(NBC) alipotembelea banda la benki hiyo katika Maonesho ya 44 ya
Biashara ya Dar es Salaam(SABASABA) yanayofanyika katika Viwanja vya
Mwl.Julius Nyerere barabara ya Kilwa Jijini Dar es Salaam.
Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa
Hesabau za Serikali (CAG), Bw.Charles Kichere (kushoto mwenye kofia)
akisikiliza maelezo kutoka kwa Maafisa wa Bodi ya Sukari Tanzania (SBT)
alipotembelea banda hilo katika Maonesho ya 44 ya Biashara ya Dar es
Salaam(SABASABA) yanayofanyika katika Viwanja vya Mwl.Julius Nyerere
barabara ya Kilwa Jijini Dar es Salaam.
Picha na Idara ya Habari-MAELEZO
No comments :
Post a Comment