Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri
Mkuu anayeshughulikia Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu
Mhe. Jenista Mhagama akizungumza na Viongozi wa ngazi ya taifa na Kamati
ya utendaji ya Chama Cha Walimu Tanzania (CWT) alipokutana nao kwa
lengo la kuwapongeza viongozi hao. Kulia ni Rais wa Chama Walimu
Tanzania (CWT) Bi. Leah Ulaya.
Sehemu ya Wajumbe wa Kamati ya
Utendaji ya Chama Cha Walimu Tanzania (CWT) wakifuatilia kwa makini
maelezo ya Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu anayeshughulikia Sera,
Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu Mhe. Jenista Mhagama (hayupo
pichani) alipokutana nao katika ukumbi wa mkutano wa PSSSF, Jijini
Dodoma.
Rais wa Chama Walimu Tanzania
(CWT) Bi. Leah Ulaya akitoa shukrani na kuelezea namna uongozi huo mpya
utakavyosimamia Chama hicho.
Kamishna wa Kazi Msaidizi Bw. Andrew Mwaluisi (kulia)akieleza jambo
wakati wa mkutano huo uliofanyika katika ukumbi wa mkutano wa PSSSF,
Jijini Dodoma.
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu anayeshughulikia Sera, Bunge,
Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu Mhe. Jenista Mhagama akisisitiza
jambo kwa Viongozi wa ngazi ya taifa na Kamati ya utendaji ya Chama Cha
Walimu Tanzania (CWT).
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri
Mkuu anayeshughulikia Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu
Mhe. Jenista Mhagama (kulia) akikabidhi Cheti cha Pongezi kwa Bi. Ulumbi
Shami ambaye ameteuliwa kuwakilisha Kundi Maalum la Walimu Wenye
Ulemavu.
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri
Mkuu anayeshughulikia Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu
Mhe. Jenista Mhagama (wa pili kutoka kulia) akiwa kwenye picha ya pamoja
na Viongozi wa ngazi ya taifa na Kamati ya utendaji ya Chama Cha Walimu
Tanzania (CWT). Kulia ni Rais wa Chama Walimu Tanzania (CWT) Bi. Leah
Ulaya, (kushoto) ni Katibu Mkuu wa Chama hicho Bw. Deus Seif na Makamu
wa Rais (CWT) Bi. Dinah Mathaman.
Waziri wa Nchi,
Ofisi ya Waziri Mkuu anayeshughulikia Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira
na Wenye Ulemavu Mhe. Jenista Mhagama (wa pili kutoka kulia) akiwa
kwenye picha ya pamoja Viongozi wa ngazi ya taifa na Kamati ya utendaji
ya Chama Cha Walimu Tanzania (CWT) alipokutana nao Jijini Dodoma.
PICHA ZOTE NA OFISI YA WAZIRI MKUU
(KAZI, VIJANA, AJIRA NA WENYE ULEMAVU)
OWM – KVAU
No comments :
Post a Comment