Katika mkakati wake wa
kuunga mkono jitihada za Serikali za kukabiliana na maambikizi ya
ugonjwa wa Covid 19, kampuni ya bia ya TBL, imetoa vifurushi vyenye
vifaa vya kujikinga na ugonjwa huo kwenye mabaa zaidi ya 2,500 nchini
pote kwa ajili ya wahudumu na wateja.Vifaa hivyo vimezalishwa nchini na
ubora wake kuthibitishwa.
Afisa Mauzo wa TBL,Catherine Lyakurwa akikabidhi vifaa kwenye baa ya Africana mini Arusha
Meneja
Mauzo wa TBL Plc, Silvanus Musomi (kulia) akimkabidhi Meneja wa baa ya
Calabash iliyopo Mwenge jijini Dar es Salaam, Kiringa Wanzagi
Meneja Mauzo wa Kanda ya nyanda
ya Kusini kutoka Kampuni ya Bia Tanzania (TBL) Abubakar Masoli (kulia)
akikabidhi vifaa kwenye baa ya Mwailubi mjini Mbeya.
Mbeya Carnival nayo imefikiwa na mgao wa vifurushi hivyo vya kinga
Meneja Mauzo wa TBL mkoa wa Mwanza, Issa Makani akiwapatia vifaa via kinga wahudumu wa Bar ya Chanya ya jijini Mwanza
No comments :
Post a Comment