
Makamu wa Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan na Rais
Mstaafu wa Awamu ya Nne Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete wakimjulia hali na
kumfariji Mjane wa marehemu Rais Pierre Nkurunziza wa Burundi Bibi Rev
Denise Nkurunziza wakati alipofika nyumbani kwa marehemu Nkurunziza
Jijini Bujumbura Nchini Burundi jana jioni kwa ajili ya kuitembelea na
kuifariji familia akiwemo mjane na watoto wa marehemu Nkurunziza.

Makamu wa Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akimjulia hali
na kumfariji Mjane wa marehemu Rais Pierre Nkurunziza wa Burundi Bibi
Rev Denise Nkurunziza wakati alipofika nyumbani kwa marehemu Nkurunziza
Jijini Bujumbura jana jioni kwa ajili ya kuitembelea na kuifariji
familia akiwemo mjane na watoto wa marehemu Nkurunziza ambapo amemuomba
Mwenyezi Mungu kuwapa uvumilivu na kuwa na subira katika kipindi hiki
cha maombolezo.

Makamu wa Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan na Rais
Mstaafu wa Awamu ya Nne Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete wakizungumza na Mjane
na Watoto wa marehemu Rais Pierre Nkurunziza wa Burundi walipofika
nyumbani kwa marehemu Nkurunziza Jijini Bujumbura Nchini Burundi jana
jioni kwa ajili ya kuitembelea na kuifariji familia akiwemo mjane na
watoto wa marehemu Nkurunziza ambapo wamemuomba Mwenyezi Mungu kuwapa
uvumilivu na kuwa na subira katika kipindi hiki cha maombolezo.

Makamu wa Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan na Rais
Mstaafu wa Awamu ya Nne Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete wakiwa katika picha
ya pamoja na Mjane na Watoto wa marehemu Rais Pierre Nkurunziza wa
Burundi baada ya kuitembelea na kuifariji familia hiyo jana jioni.

Makamu wa Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na
Mjane na Watoto wa marehemu Rais Pierre Nkurunziza wa Burundi
alipofika nyumbani kwa marehemu Nkurunziza Jijini Bujumbura Nchini
Burundi jana jioni kwa ajili ya kuitembelea na kuifariji familia akiwemo
mjane na watoto wa marehemu Nkurunziza ambapo amemuomba Mwenyezi Mungu
kuwapa uvumilivu na kuwa na subira katika kipindi hiki cha maombolezo.

Makamu wa Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akitia saini
kitabu cha kumbukumbu ya maombolezo nyumbani kwa marehemu Rais Pierre
Nkurunziza wa Burundi wakati alipofika nyumbani kwa marehemu Nkurunziza
Jijini Bujumbura Nchini Burundi jana jioni kwa ajili ya kuitembelea na
kuifariji familia akiwemo mjane na watoto wa marehemu ambapo amemuomba
Mwenyezi Mungu kuwapa uvumilivu na kuwa na subira katika kipindi hiki
cha maombolezo.

Rais Mstaafu wa
Awamu ya Nne Dkt. Jakaya Mrisho kikwete akitia saini kitabu cha
kumbukumbu ya maombolezo nyumbani kwa marehemu Rais Pierre Nkurunziza
wa Burundi wakati alipofika nyumbani kwa marehemu Nkurunziza Jijini
Bujumbura Nchini Burundi jana jioni kwa ajili ya kuitembelea na
kuifariji familia akiwemo mjane na watoto wa marehemu.

Makamu wa Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan na Rais
Mstaafu wa Awamu ya Nne Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete wakiagana na Mjane na
Watoto wa marehemu Rais Pierre Nkurunziza wa Burundi baada ya
kuwafariji walipotembelea nyumbani kwa marehemu Nkurunziza Jijini
Bujumbura Nchini Burundi jana jioni. (Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais)
No comments :
Post a Comment