Makamu wa Pili wa Rais wa
Zanzibar, Balozi Seif Ali Idd (kushoto) akishukuru baada ya kupokea
msaada wa Mabati 216 na Mbao 333 kwa ajili ya shule tatu za awali,
katika jimbo la Kikwajuni -Wilaya ya Mjini Mkoa wa Mjini Mgaharibi
Zanzibar yaliyotolewa na Benki ya NMB. Kutoka kushoto kwake ni Mbunge
wa jimbo la Kikwajuni na Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Hamad
Yusuf Masauni, katikati ni Afisa Mkuu wa Wateja Binafsi na Biashara wa
Benki ya NMB, Filbert Mponzi na kulia ni Maofisa wa Benki hiyo.
Pages
Subscribe to:
Post Comments
(
Atom
)
No comments :
Post a Comment