Waziri Mkuu, Kassim
Majaliwa akihutubia mkutano wa hadhara kwenye uwanja wa Bomani Pangani
akiwa katika ziara ya mkoa wa Tanga, Machi 6, 2020.
Wananchi wa Pangani wakimsikiliza
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa wakati alipohutubia mkutano wa hadhara
kwenye uwanja wa Bomani Pangani akiwa katika ziara ya mkoa wa Tanga
Machi 6, 2020.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa
akikagua mradi wa ujenzi wa ukuta wa mto Pangani kabla ya kuuzindua
ukuta huo, Machi 6, 2020. Kushoto ni Naibu Waziri, Ofisi ya Makamu wa
Rais, Muungano na Mazingira, Mussa Sima na kulia ni Mkuu wa wilaya ya
Pangani, Zaibab Abdallah Issa .
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa
akizindua mradi wa ujenzi wa ukuta wa mto Pangani akiwa katika ziara
ya mkoa wa Tanga Machi 6, 2020. Kulia ni Naibu Waziri wa Maji, Jumaa
Aweso, wa pili kulia ni Naibu Waziri, Ofisi ya Makamu wa Raisi, Muungano
na Mazingira, Mussa Sima na kushoto ni Mkuu wa wilaya ya Pangani,
Zainab Abdallah.
Waziri Mkuu, Kasim Majaliwa akitia
saini kitabu cha wageni akiwa kwenye Ofisi ya Mkuu wa polisi wa wilaya
ya Pangani, Georgina Matagi (kulia) wakati alipozindua kituo kipya
cha Polisi cha wilaya ya Pangani, Machi 6, 2020. Kituo hicho kimejengwa
uhamasishaji uliofanywa na Mkuu wa Polisi wa wilaya hiyo. (Picha na
Ofisi ya Waziri Mkuu)
No comments :
Post a Comment