Thursday, March 5, 2020

WAZIRI MKUU AZINDUA GHALA LA SKIMU YA UMWAGILIAJI YA MOMBO WILAYANI KOROGWE


 Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizindua ghala la skimu ya umwagiliaji ya Mombo, Machi 5, 2020. Wa tatu kulia ni Naibu Waziri wa Kilimo, Omari Mgumba na wa pili kulia ni Mwenyekiti wa CCM wa Mkoa wa Tanga, Henry Shekifu.
  Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akitazama mchele daraja la kwanza wakati alipotembelea mashine ya kukoboa nafaka  ya  Skimu ya Umwagiliaji ya Mombo wilayani Korogwe, Machi 5, 2020. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
 Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akitazama kiloba cha mchele uliokobolewa na kufungashwa tayari kwa kuuzwa wakati alipozindua ghala la skimu ya umwagiliaji ya Mombo wilayani Korogwe, Machi 5, 2020.
 Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akitazama trekta la kuvuna mpunga wakati alipozindua ghala la skimu ya umwagiliaji ya Mombo wilayani Korogwe, Machi 5, 2020. (Picha na Ofisi ya Waziri)

No comments :

Post a Comment