Thursday, March 5, 2020

TCRA YAFANYA KIKAO KAZI NA WAHARIRI WA VYOMBO MBALIMBALI VYA HABARI NCHINI

 Mkurugenzi Mkuu wa TCRA Mhandisi James Kilaba (katikati) akiwa na viongozi wengine wa Mamlaka hiyo, wakati akizungumza leo Machi 5 mwaka 2020 jijini Dar es Salaam wakati wa kikao kazi na wahariri wa vyombo mbalimbali vya habari pamoja na waandishi waandamizi.
 Mkurugenzi Mkuu wa TCRA Mhandisi James Kilaba akifafanua jambo kwa wahariri wa vyombo vya habari nchini wakati wa kikao kazi.
 Mkurugenzi wa TEHAMA wa Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania(TCRA) Connie Francis akielezea kwa kina namna ambavyo TCRA inafanya shughuli zake zikiwemo za kusimamiwa wadau wao.
 Mmoja wa maofisa wa Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania(TCRA) akifafanua jambo wakati wa kikao hicho
 Katibu wa Jukwaa la Wahariri Tanzania, Bw. Neville Meena akizungumza kwenye mkutano huo.

 Baadhi ya wahariri wa vyombo mbalimbali vya habari nchini wakiwa makini kufuatilia mada zilizokuwa zinatolewa wakati wa kikao kazi kati yao na maofisa wa TCRA wakiongozwa na Mkurugenzi Mkuu Mhandisi James Kilaba.

Picha ya pamoja.

No comments :

Post a Comment