Makamu wa Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akifungua Mkutano wa
Mawaziri wa Sekta ya kazi, Ajira na Wadau wa Utatu wa Jumuiya ya
Maendeleo kusini mwa Afrika (SADC) katika Ukumbi wa Kimataifa wa Mwl.
Julius Nyerere Jijini Dar es salaam leo March 04,2020.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akizindua Mpango maalum
wa Mafunzo kwa Vitendo katika sehemu ya kazi kwenye Mkutano wa Mawaziri
wa Sekta ya kazi, Ajira na Wadau wa Utatu wa Jumuiya ya Maendeleo
kusini mwa Afrika (SADC) katika Ukumbi wa Kimataifa wa Mwl. Julius
Nyerere Jijini Dar es salaam leo March 04,2020.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akionesha Mpango maalum
wa Mafunzo kwa Vitendo katika sehemu ya kazi mara baada ya kuzindua
mpango huo katika Mkutano wa Mawaziri wa Sekta ya kazi, Ajira na Wadau
wa Utatu wa Jumuiya ya Maendeleo kusini mwa Afrika (SADC) kwenye Ukumbi
wa Kimataifa wa Mwl. Julius Nyerere Jijini Dar es salaam leo March
04,2020.kushoto Waziri wa Kazi, Vijana, Ajira na Wenye ulemavu Mhe.
Jenista Mhagama kulia katibu Mtendaji wa jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa
Afrika (SADC) Dr. Stergomena Tax na Waziri wa Kazi Uwezeshaji, Wazee,
Wanawake na Watoto wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar Mhe. Mouldine
Castico.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akikabidhi Tuzo kwa
Mkurugenzi Mkuu wa Benki ya CRDB Abdulmajid Nsekela kwa kutambua mchango
wake wa Udhamini kwa Vijana katika Mpango Maalum wa Mafunzo Sehemu ya
kazi kwenye Mkutano wa Mawaziri wa Sekta ya kazi, Ajira na Wadau wa
Utatu wa Jumuiya ya Maendeleo kusini mwa Afrika (SADC) katika Ukumbi wa
Kimataifa wa Mwl. Julius Nyerere Jijini Dar es salaam leo March 04,2020.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akikabidhi Cheti kwa
Agatha Masola kati ya Vijana 20 wanaoendelea na Mpango Maalum wa
Mafunzo Sehemu ya kazi wakati wa Mkutano wa Mawaziri wa Sekta ya kazi,
Ajira na Wadau wa Utatu wa Jumuiya ya Maendeleo kusini mwa Afrika (SADC)
katika Ukumbi wa Kimataifa wa Mwl. Julius Nyerere Jijini Dar es salaam
leo March 04,2020.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akiwa katika picha ya
pamoja mara baada ya kufungua Mkutano wa Mawaziri wa Sekta ya kazi,
Ajira na Wadau wa Utatu wa Jumuiya ya Maendeleo kusini mwa Afrika (SADC)
katika Ukumbi wa Kimataifa wa Mwl. Julius Nyerere Jijini Dar es salaam
leo March 04,2020.
(Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais)
No comments :
Post a Comment