Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa
akiweka jiwe la msingi la mradi wa shamba la ufuta la Kampuni ya Haya
Modern Agriculture Limited lililopo Mkoamzi wilayani Korogwe, Machi 5,
2020. Kushoto ni Naibu Waziri wa Kilimo, Omari Mgumba na wa tatu
kushoto ni Mkurugenzi wa shamba hilo, Mohamad Zioud. (Picha na Ofisi ya
Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa
akikagua mtambo wa kaupanda mazao wakati alipotembelea shamba la ufuta
la Kampuni ya Haya Modern Agriculture Limited lililopo eneo la
mkoamazi wilayani Korogwe, Machi 5, 2020. Kushoto ni Mkuu wa Mkoa wa
Tanga, Martine Shigela na wa tatu kushoto ni Mkurugeni wa shamba hilo,
Mohamad Zioud.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa
akitazama shamba lililoandaliwa kwa ajili ya kilimo cha ufuta wakati
alipotembelea shamba la kampuni ya Haya Modern Agriculture Limited la
Mkoamazi wilayani Korogwe, Machi 5, 2020.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa
akiwapungia wananchi wakati alipowasili kwenye shamba la ufuta la Haya
Modern Agriculture la Mkomazi wilayani Korogwe kweka jiwe la msingi la
mradi huo, Machi 5, 2020. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
No comments :
Post a Comment