Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa
akizindua ghala la skimu ya umwagiliaji ya Mombo, Machi 5, 2020. Wa tatu
kulia ni Naibu Waziri wa Kilimo, Omari Mgumba na wa pili kulia ni
Mwenyekiti wa CCM wa Mkoa wa Tanga, Henry Shekifu. (Picha na Ofisi ya
Waziri
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa
akitazama trekta la kuvuna mpunga wakati alipozindua ghala la skimu ya
umwagiliaji ya Mombo wilayani Korogwe, Machi 5, 2020.(Picha na Ofisi ya
Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa
akitazama mchele daraja la kwanza wakati alipotembelea mashine ya
kukoboa nafaka ya Skimu ya Umwagiliaji ya Mombo wilayani Korogwe,
Machi 5, 2020. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa
akitazama kiloba cha mchele uliokobolewa na kufungashwa tayari kwa
kuuzwa wakati alipozindua ghala la skimu ya umwagiliaji ya Mombo
wilayani Korogwe, Machi 5, 2020. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
No comments :
Post a Comment