Friday, March 6, 2020

IGP SIRRO AFANYA ZIARA YA UKAGUZI KATIKA SHULE YA POLISI MOSHI


Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini IGP Simon Sirro (wapili kulia) akitumia darubini kuangali wakati alipofanya ziara ya ukaguzi eneo la uwanja wa mbinu za medani lililopo Halmashauri ya Wilaya ya Siha mkoani Kilimanjaro, leo
06/03/2020, IGP Sirro yupo mkoani humo kwa ajili ya ziara ya kikazi. Picha na Jeshi la Polisi
Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini IGP Simon Sirro (katikati) akizungumza na maofisa wa vyeo mbalimbali (hawapo pichani) wakati alipofanya ziara ya ukaguzi katika Shule ya Polisi Moshi iliyopo mkoani Kilimanjaro, leo kulia ni
Kamanda wa Polisi mkoa wa Kilimanjaro ACP Hamis Hamduni na kushoto ni Kaimu Mkuu wa shule hiyo ya Polisi ACP Omar K. Omar. Picha na Jeshi la Polisi
Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini IGP Simon Sirro akikagua eneo la uwanja wa mbinu za medani lililopo Halmashauri ya Wilaya ya Siha mkoani Kilimanjaro, leo 06/03/2020, IGP Sirro yupo mkoani humo kwa ajili ya ziara ya kikazi. Picha
na Jeshi la Polisi

No comments :

Post a Comment