Mkuu wa Kitengo cha Mauzo,
Usambazaji ,Maduka na Huduma kwa Wateja Vodacom Tanzania Plc, George
Lugata akikata keki na Devota Kijogoo huku akishuhudiwa
na wafanyakazi wa duka hilo.
Msimamizi wa duka jipya la Vodacom
Mbezi Beach chini kwa Zena jijini Dar es salaam, Devota Kijogoo akiwa
kwenye picha ya pamoja na wafanyakazi wa duka hilo.
Mkuu wa Kitengo cha Mauzo,
Usambazaji ,Maduka na Huduma kwa Wateja Vodacom Tanzania Plc, George
Lugata akimlisha keki mteja wa Vodacom, Neema Lazaro mara baada ya
uzinduzi wa duka jipya la kisasa lililopo Mbezi Beach chini kwa Zena
jijini Dar Es Salaam leo.
Mkuu wa Kitengo cha Mauzo,
Usambazaji ,Maduka na Huduma kwa Wateja Vodacom Tanzania Plc, George
Lugata akizungumza na wageni waalikwa na wafanyakazi wa Vodacom mara
baada ya uzinduzi wa duka jipya la kisasa lililopo Mbezi Beach chini kwa
Zena jijini Dar Es Salaam leo.
No comments :
Post a Comment