Tuesday, February 4, 2020

KAMISHNA JENERALI WA MAGEREZA, SULEIMAN MZEE AKAGUA USIMIKAJI WA MIUNDOMBINU YA MAJI KATIKA MAJENGO YA MAKAZI YA MAAFISA NA ASKARI MAGEREZA, UKONGA DSM



Kamishna Jenerali wa Magereza nchini, Suleiman Mzee akisalimiana na Mkuu wa Kiwanda cha Samani cha Gereza Kuu Ukonga, ACP. John Itambu mapema leo alipokagua zoezi la uwekaji miundombinu ya maji katika majengo ya makazi ya Maafisa na askari Magereza, Ukonga Dar es Salaam kabla ya kutembelea eneo la ujenzi
wa Hospitali Kuu ya Jeshi hilo.
Mkuu wa Magereza Mkoani Dar es Salaam, SACP. Julius Ntambala(kushoto) akitoa taarifa fupi kwa Kamishna Jenerali wa Magereza nchini, Suleiman Mzee(wa pili
toka kulia) mapema leo alipokagua zoezi la uwekaji miundombinu ya maji katika majengo ya makazi ya Maafisa na askari Magereza, Ukonga Dar es Salaam kabla ya kutembelea eneo la ujenzi wa Hospitali Kuu ya Jeshi hilo.
Moja ya majengo ya makazi ya Maafisa na askari wa Jeshi la Magereza yaliyopo Ukonga Dar es Salaam ambayo yamekabidhiwa hivi karibuni na Rais Magufuli.
Mkuu wa Magereza Mkoani Dar es Salaam, SACP. Julius Ntambala akitoa taarifa fupi kwa Kamishna Jenerali wa Magereza nchini, Suleiman Mzee(wa pili toka kulia)
mapema leo alipokagua zoezi la uwekaji miundombinu ya maji katika majengo ya makazi ya Maafisa na askari Magereza, Ukonga Dar es Salaam kabla ya kutembelea
eneo la ujenzi wa Hospitali Kuu ya Jeshi hilo(Picha zote na Jeshi la Magereza).

No comments :

Post a Comment