Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa
akizungumza na Naibu Spika wa Bunge, Dkt. Tulia Ackson (kushoto) na
Mbunge wa Babati Mjini, Paulina Gekul kwenye viwanja vya bunge jijini
Dodoma, Februari 4, 2020. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Naibu waziri, Ofisi ya Waziri
Mkuu, Stella Ikupa akizungumza na Naibu Waziri, Ofisi ya Rais,
Menejiment ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Dkt, Mary Mwanjelwa,
bungeni jijini Dodoma, Februari 4, 2020. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa na
Naibu Spika wa Bunge, Dkt. Tulia Ackson wakiwa katika picha ya pamoja na
wanafunzi wa Shule ya Misingi ya Dar es salaam Independent School ya
Mikocheni ambao walifika bungeni jijini Dodoma kwa ziara ya mafunzo,
Februari 4, 2020. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa
akizungumza na Mbunge wa Urambo Margaret Sita (kushoto) na Mbunge wa
Viti Malaam, Mwanne Mchemba kwenye vivanja vya bunge jijini Dodoma,
Februari 4, 2020. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
No comments :
Post a Comment