Thursday, January 16, 2020

WAZIRI MKUU KASSIM MAJALIWA, AREJEA NCHINI TOKEA MSUMBIJI ALIKOMWAKILISHA RAIS DKT. JOHN POMBE MAGUFULI, KWENYE UAPISHO WA RAIS WA MSUMBIJI, FILIPE NYUSI.



Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa, leo Januari 16, 2020 amerejea nchini kutoka Msumbiji, ambako alimwakilisha Rais John Pombe Magufuli, kwenye uapisho wa Rais wa Msumbiji Filipe Nyusi. Kushoto ni Rais Mstaafu wa Awamu ya Pili, Benjamin Mkapa, ambaye pia alikuwepo katika msafara huo. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

No comments :

Post a Comment