RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti
wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akikata uteke kuashiria
kuifungua barabara ya Bububu hadi Mkokotoni iliyojengwa kwa kiwango cha lami na
kampuni ya Ujenzi kutoka Chini ya
(CCECC) (kulia kwa Rais) Waziri wa Ujenzi Mawasiliano na Usafirishaji
Zanzibar.Mhe.Dkt, Sira Ubwa na Mwakilishi wa Kampuni ya Ujenzi ya Kanda ya
Afrika Mashariki Bw.Zhang Junle na (kushoto kwa Rais) Katibu Mkuu Ndg. Mustafa
Aboud Jumbe na Mwakilishi wa Benki ya Maendeleo ya Afrika (AfDB) Meneja Mkaazi Bw.Alex,M.Mubiru.(Picha
na Ikulu)
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti
wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein akifungua pazia kuashiria
kuifungua barabara ya Bububu hadi Mkokotoni Mkoa wa Kaskazini Unguja,
iliojengwa kwa kiwango cha lami na Kampuni ya (CCECC ) kutoka Nchini China, ufunguzi
huo umefanyika katika eneo la kwa Nyanya (chuini) Wilaya ya Magharibi “A”Unguja
ikiwa ni shamrashamra za kuadhimisha miaka 56 ya Mapinduzi ya Zanzibar.(Picha
na Ikulu)
RAIS
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Ali Mohamed Shein
akimsikiliza Katibu Mkuu Wizara ya Ujenzi Mawasiliano na Usafirishaji Zanzibar.Ndg.
Mustafa Aboud Jumbe, akitoa maelezo ya ramani ya barabara baada ya kuifungua
leo katika eneo la kwa Nyanya Chuini ,ikiwa ni shanrashamra za kuadhimisha
Miaka 56 ya Mapinduzi ya Zanzibar.(Picha na Ikulu)
No comments :
Post a Comment