MUONEKANO wa Jengo la Skuli mpya
ya Sekondari ya Rahaleo Wilaya ya Mjini Unguja iliofunguliwa leo na Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi.Mhe.Dk.
Ali Mohamed Shein, kwa niaba ya Skuli Tisa za Unguja na Pemba, ikiwax
ni shamrashamra za Kusherehekea Miaka 56 ya Mapinduzi ya Zanzibar
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa
Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Ali Mohamed Shein, akikata uteke kuashiria
kuzifungua Skuli Tisa za Sekondari Zanzibar zilizojengwa Unguja na
Pemba, (kushoto kwa Rais) Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali
Zanzibar.Mhe.Riziki Pembe Juma na (kulia kwa Rais)Spika wa Baraza la
Wawakilishi Zanzibar.Mhe. Zuberi Ali Maulid.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa
Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akiondoa kipazia
kuashiria kuweka Jiwe la Msingi la Skuli ya Rahaleo, kwa niaba ya Skuli
hizo Mpya Tisa zilizojengwa Unguja na Pemba.(kushoto kwa Rais) Waziri wa
Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar.Mhe. Riziki Pembe Juma.ikiwa ni
shamrashamra za kusherehekea Miaka 56 ya Mapinduzi ya Zanzibar
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa
Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein, akimsikiliza Mwalimu wa
Somo la Sayansi wa Skuli ya Kiembesamaki.Ndg Issa Masoud akitowa
maelezo, wakati Rais wakati akitembelea maabara ya Sayansi katika Skuli
hiyo ya Sekondari, (kushoto kwa Rais) Waziri wa Elimu na Mafunzo ya
Amali Zanzibar.Mhe.Riziki Pembe Juma, ikiwa ni shamrashamra za
kusherehekea Miaka 56 ya Mapinduzi ya Zanzibar.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa
Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akimsikiliza Mkurugenzi
Idara ya Elimu Sekondari Bi.Asia Iddi Issa, wakati akitembelea darasa la
Komputa katika Skuli hiyo baada ya kuifungua leo 5-1-2020, kwa niaba ya
Skuli za Sekondari Tisa za Ungyuja na Pemba, (kushoto kwa Rais) Waziri
wa Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar.Mhe.Riziki Pembe Juma.ikiwa ni
shamrashamra za kuadshimisha Miaka 56 ya Mapinduzi ya Zanzibar.(Picha na
IKULU)
No comments :
Post a Comment