
Bendi ya maarufu ya muziki wa dansi barani Ulaya “The Ngoma Africa Band”
aka FFU-Ughaibuni alimaarufu pia kwa majina ya utani kama viumbe wa ajabu
“Anunnaki Aliens” bendi
inayoongozwa na mwanamuziki nguli kamanda Ras Makunja yenye maskani nchi
Ujerumani, bendi hiyo inatarajiwa kutumbuiza katika onyesho kubwa la
kufungua mwezi wa Black History Month yatakayofanyika jijini Hamburg
siku ya jumamosi tarehe 1 February 2020 katika ukumbi wa Grunspan. Ngoma
Africa Band imeweka rekodi ya kuwa bendi ya muziki ya kigeni inayodumu
kwa miaka 27 barani ulaya na katika mmajukwaa ya kimataifa ,ilianzishwa
mwaka 1993 ka kiongozi wake kamanda Ras Makunja.
usikose kuwa nao at https://www.youtube.com/watch?v=oTD5ckMYUtM
No comments :
Post a Comment