Friday, January 17, 2020

MWENYEKITI WA EAPCCO AKUTANA NA UJUMBE KUTOKA UMOJA WA NCHI ZA ULAYA



Mwenyekiti wa EAPCCO ambaye pia ni Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini IGP Simon Sirro, akimkabidhi zawadi Ignasi Muntane (kushoto) mmoja kati wa wajumbe kutoka Umoja wa Nchi za Ulaya leo jijini Dodoma, wajumbe hao
wapo nchini kwa lengo la kuzungumzia pamoja na mambo mengine, Mradi unaofadhili mafunzo ya kuwajengea uwezo wasimamizi wa sheria katika nchi zilizopo Pembe ya Afrika hususani kwenye masuala ya upelelezi . Picha na Jeshi
la Polisi.
Mwenyekiti wa EAPCCO ambaye pia ni Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini IGP Simon Sirro, akimkabidhi zawadi Javier Vega (kushoto) mmoja kati wa wajumbe kutoka Umoja wa Nchi za Ulaya leo jijini Dodoma, wajumbe hao wapo nchini kwa lengo la kuzungumzia pamoja na mambo mengine, Mradi unaofadhili mafunzo ya kuwajengea uwezo wasimamizi wa sheria katika nchi zilizopo Pembe ya Afrika hususani kwenye masuala ya upelelezi . Picha na Jeshi
la Polisi.
Mwenyekiti wa EAPCCO ambaye pia ni Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini IGP Simon Sirro leo 17/01/2020 Jijini Dodoma, amekutana na Ujumbe kutoka Umoja wa Nchi za Ulaya kwa lengo la kuzungumzia pamoja na mambo
mengine, Mradi unaofadhili mafunzo ya kuwajengea uwezo wasimamizi wa sheria katika nchi zilizopo Pembe ya Afrika hususani kwenye masuala ya upelelezi . Picha na Jeshi la Polisi

No comments :

Post a Comment