MKURUGENZI wa Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF) Benard Konga akizungumza wakati wa kikao cha Mfuko huo na Waandishi wa Habari mkoani Tanga |
Meneja wa Masoko na Huduma Kwa Wateja (NHIF) Hipoliti Lello akiwasilisha mada kuhusu mkakati wa kupanua wigo wa wanachama wa NHIF wakati wa kikao hicho |
Meneja wa Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF) Mkoani Tanga Ally Mwakababu kushoto akiwa na
Meneja Uhusiano wa Mfuko huo Anjela MzirayMENEJA wa Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya(NHIF) Mkoani Arusha Isaya Shekifu |
Maafisa kutoka Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF) wakiwa kwenye kikao hicho
Sehemu ya waandishi wa habari wakiwa kwenye kikao hicho katika aliyevaa suti ni Dege Masoli wa Nipashe
Mwandishi wa Gazeti la Mtanzania Mkoani Tanga Amina Omari akiuliza swali kwenye kikao hicho |
Mwandishi wa Gazeti la Majira mkoani Tanga Mashaka Mhando akiulizwa swali katika kikao hicho
Mwandishi wa Gazeti la Majira wilayani Korogwe Yusuph Mussa akizungumza wakati wa kikao hicho
*****************************
MKURUGENZI wa Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya nchini (NHIF) Benard Konga amesema kwamba
mfumo wa vifurushi vya bima ya afya hautakwenda kuua mfuko huo bali utakuwa
ndio chanzo kingine cha mapato hatua itakayowasaidia kuboresha huduma zao kwa
wanachama.

Konga aliyasema hayo leo wakati wa kikao cha Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF) na
Waandishi wa Habari mkoani Tanga kilichofanyika ukumbi wa Ofisi ya Mkuu wa Mkoa
wa Tanga ambapo alisema kwamba vitakuwa na manufaa makubwa kwa watanzania.

Alisema kwamba mfumo wa bima ya Afya ni muhimu sana kwa watanzania kwa ajili ya kupata
matibabu wakati wanapougua hivyo ni muhimu kuhakikisha wanajiunga na mpango wa
vifurushi ambayo vitakuwa msaada mkubwa sana kwao na jamii zinazowazunguka.

Kauli hiyo
ya Mkurugenzi huyo inatokana na swali aliloulizwa na Mwandishi wa Habari wa
Gazeti la Majira Mkoani Tanga Mashaka Mhando ambaye alieleza kwamba mfumo huo
wa vifurushi utakwenda kuua mfumo huo.

Akijibu
swali hilo Mkurugenzi huyo aliwatoa hofu watanzania na kueleza kwamba uwepo wa
mfumo huo wa vifurusi utakuwa chachu kubwa ndani ya mfuko huo kwa sababu unakwenda
kuongeza chanzo kingine cha mapato na hivyo kusaidia kuboresha huduma wanazozitoa
kwa wanachama wao.

“Ninaamini kwamba mfumo huo wa vifuriushi utaleta wanachama wengi wanakaoleta michango
itakayowezesha mfuko kutekeleza majukumu yake vizuri ikiwemo kuwahudumia
wanachama hao hivyo una faida kubwa sana “Alisema Mkurugenzi huyo.

Hata hivyo alisema kwamba kuhusu watanzania kumudu gharama mfuko huo alieleza wameangalia
mazingira halisi ya kipato cha mtanzania na kubaini wanaweza kumudu gharama
hizo kutokana utafiti walioufanya.

“Lakini niulize
kwamba wana habari hapa simu mnazomiliki hapa ukiangalia ni za bei juu sana na
tunachangia masherehe tutoke huko tutambue kwamba uwekezaji kwenye afya zetu kwa
manufaa yetu sisi wenyewe na Mwenyekitk wangu amekuwa akisema suala hilo sio
siasa hivyo tuweke siasa pembeni tujiunge na mfuko huo”Alisema Mkurugenzi huyo.

Awali akizungumza
wakati wa kikao hicho Meneja wa Masoko na Huduma Kwa Wateja (NHIF) Hipoliti
Lello alisema kwamba licha ya kuongeza magonjwa ya yasiyoambukiza na matatibu
yake kuwa ya juu lakini bado wananchi wengi hawajapata mwamko wa kujiunga na
Bima ya Afya.

“Akitolea
mfano wastani wa matibabu ya mgonjwa mmoja wa Kansa kwa mwaka mmoja anatumia
zaidi ya milioni 69 kwa ajili ya matibabu na kwa upande wa mgonjwa wa figo
anatumia milioni 35 kwa mwaka huku mgonjwa wa moyo akitumia zaidi ya milioni
12.5 kwa mwaka kulingana na gharama hizo ifike wakati watanzania waone umuhimu
wa kujiunga na bima ya Afya waweze kupata uhakika wa matibabu”Alisema

Alisema kuwa
ili kujihakikisha huduma bora za matibabu ni muhimu watanzania wakaama na
kujiunga na mfuko huo kwani kutokana na maboresho ya sekta ya afya kwa sasa
matibabu lazima yatakuwa na gharama.

katika kikao hicho Mweka hazina wa Chama cha Waandishi wa Habari mkoani Tanga
(Tanga Press Club) Gift Kika aliushukuru mfuko kwa kuona umuhimu wa kutoa elimu
kwa wana habari kwani wanadhamana kubwa ya kuelimisha wananchi umuhimu wa
kujiunga na mfuko huo.

No comments :
Post a Comment