Mwenyekiti wa
Kamati ya Bunge ya Nishati na Madini, Mhe. Dunstan Kitandula akisikiliza
hoja za wajumbe katika kikao cha kamati kilichofanyika katika Ofisi za
Bunge Jijini Dodoma, ambapo kamati ilipokea Taarifa ya utekelezaji na
hali ya upatikanaji wa fedha za maendeleo katika Kampuni ya Taifa ya
Mafuta (TPDC) kwa kipindi cha nusu mwaka.pembeni yake ni Katibu wa
Kamati hiyo Felister Mgonja.
Waziri wa Nishati, Dkt. Medard
Kalemani akisikiliza kwa makini hoja za wabunge katika katika kikao cha
kamati kilichofanyika katika Ofisi za Bunge Jijini Dodoma, ambapo kamati
ilipokea Taarifa ya utekelezaji na hali ya upatikanaji wa fedha za
maendeleo katika Kampuni ya Taifa ya Mafuta (TPDC) kwa kipindi cha nusu
mwaka.pembeni yake ni Mwanasheria Mkuu wa Serikali, Dkt. Adelardus
Kilangi.
Wajumbe wa Kamati ya Bunge ya
Nishati na Madini wakiwa katika kikao cha kamati kilichofanyika katika
Ofisi za Bunge Jijini Dodoma, ambapo kamati ilipokea Taarifa ya
utekelezaji na hali ya upatikanaji wa fedha za maendeleo katika Kampuni
ya Taifa ya Mafuta (TPDC) kwa kipindi cha nusu mwaka.
PICHA NA OFISI YA BUNGE
No comments :
Post a Comment