Kaimu Mkurugenzi
wa Benki ya NMB, Ndugu Ruth Zaipuna akizungumza katika kikao cha Kamati
ya Uwekezaji wa Mitaji ya Umma (PIC), kilichofanyika Bungeni Jijini
Dodoma.kamati hiyo ilikutana na uongozi wa Benki hiyo kwa ajili ya
kupokea taarifa ya uwekezaji uliofanywa na Serikali katika Benki
hiyo.Pembeni yake ni Mwenyekiti wa Bodi ya Benki ya NMB, Profesa Joseph
Semboja.
Mwenyekiti wa
Bodi ya Benki ya NMB, Profesa Joseph Semboja akizungumza katika kikao
cha Kamati ya Uwekezaji wa Mitaji ya Umma (PIC), kilichofanyika Bungeni
Jijini Dodoma.kamati hiyo ilikutana na uongozi wa Benki hiyo kwa ajili
ya kupokea taarifa ya uwekezaji uliofanywa na Serikali katika Benki
hiyo.Pembeni yake ni Kaimu Mkurugenzi Ndugu Ruth Zaipuna.
Wajumbe wa Kamati
ya Uwekezaji wa Mitaji ya Umma (PIC), wakiwa katika kikao cha kamati
Bungeni Jijini Dodoma.kamati hiyo ilikutana na uongozi wa Benki ya NMB
kwa ajili ya kupokea taarifa ya uwekezaji uliofanywa na Serikali katika
Benki hiyo.Pembeni yake ni Katibu wa Kamati, Elieka Saanya.
Mwenyekiti wa
kamati ya Bunge ya Uwekezaji wa Mitaji ya Umma (PIC), Dkt. Raphael
Chegeni akizungumza katika kikao cha kamati Bungeni Jijini Dodoma.kamati
hiyo ilikutana na uongozi wa Benki ya NMB kwa ajili ya kupokea taarifa
ya uwekezaji uliofanywa na Serikali katika Benki hiyo.Pembeni yake ni
Katibu wa Kamati, Elieka Saanya.
PICHA NA OFISI YA BUNGE.
No comments :
Post a Comment