Naibu Waziri wa
Viwanda na Biashara Eng. Stellah Manyanya (katikati) Mwenyekiti
wa Bodi ya Usajili wa Wataalamu wa Mipango Miji Profesa Wilbert Kombe (Kushoto) na Msajili wa Bodi ya Wataalamu wa
Mipango Miji Hellen Mtutwa ( kulia) wakiwasili katika Mkutano
wa Wataalamu wa Mipango Miji Nchini uliofanyika jijini Dodoma mwishoni mwa wiki.
Naibu Waziri wa
Viwanda na Biashara Eng. Stellah Manyanya (wa pili Kushoto)
akitoa maelekezo kwa Msajili wa Bodi ya Usajili Wataalamu wa Miapango Miji
nchini Hellen Mtutwa (Kulia) wakati alipotembelea mabanda ya maonesho katika Mkutano
wa Wataalamu wa Mipango mwishoni mwa wiki.
Naibu Waziri wa
Viwanda na Biashara Eng. Stellah Manyanya
(katikati
waliokaa) akiwa katika picha ya pamoja na viongozi wa Wataalamu wa
Mipango Miji na baadhi ya wajumbe kwenye Mkutano wa Wataalamu
wa Mipango Miji Nchini uliofanyika Mwishoni mwa wiki jijini Dodoma. (PICHA NA WIZARA YA ARDHI)
No comments :
Post a Comment