BOTI Mpya ya ya Uvuvi ya Sehewa ikiwa katika eneo la ufukwe wa Hoteli ya Verde Mtoni Zanzibar.
RAIS wa
Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein
akikata Utepe kuashiria kuizindua Boti Mpya ya Kampuni ya Uvuvi Zanzibar
(ZAFICO) hafla hiyo ya uzinduzi imefanyika katika ufukwe wa Hoteli ya
Verde Mtoni Zanzibar (kushoto kwa Rais) Naibu Waziri wa Kilimmo
Maliasili Mifugo na Uvuvi Zanzibar.Dkt. Makame Ali Ussi
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi.Mhe.Dk.
Ali Mohamed Shein akimsikiliza Nahodha wa Biti ya Uvuvi ya Sehewa Ndg.
Rashid Abdalla Rashid, akiada ya uzinduzi huo uliofanyika katika ufukwe
wa Hoteli ya Verde Mtoni Zanzibar.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi.Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akimsikiliza MKURUGENZI Mtendaji Kampuni ya Uvuvi ya Zanzibar (ZAFICO)
Ndg.Zahor Kassim Mohamed, wakati akitembelea Boti hiyo ya Sehewa baada
ya kuizindua leo katika ufukwe wa Hoteli ya Verde Mtoni Zanzibar.

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi.Mhe.Dk.
Ali Mohamed Shein, akimsikiliza Mkurugenzi wa Idara ya Uvuvi
Zanzibar.Ndg. Mussa Aboud Jumbe, akionesha aina ya samaki watakaovuliwa
na Boti hiyo ya Kisasa ya Uvuvi ya Sehewa wakati wa uzinduzi huo
uliofanyika leo, 2-12-2019. Katika ufukwe wa bahari ya Hoteli ya Verde
Mtoni Zanzibar.(Picha na Ikulu)
No comments :
Post a Comment