
Waziri wa habari, Utamaduni, Sanaa
na Michezo, Dkt. Harrison Mwakyembe (kulia) akifafanua jambo kwa
waandishi wa habari (hawapo pichani) wakati akizindua Kamati ya
kusimamia haki za kazi za wasanii nchini mapema hii leo jijini Dar es
Salaam, katikati ni Mwenyekiti wa kamati hiyo Bi. Sarah Nsangizyo
Zilahulula na kushoto ni mjumbe Dkt. Dorah Mwenegoha.

Waandishi wa habari wakimsikiliza
Waziri wa habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Dkt. Harrison Mwakyembe
(hayupo pichani) wakati waziri alipokuwa akizindua Kamati ya kusimamia
haki za kazi za wasanii nchini mapema hii leo jijini Dar es Salaam.

Baadhi ya wajumbe wa kamati ya
kusimamia haki za kazi za wasanii nchini wakimsikiliza Waziri wa habari,
Utamaduni, Sanaa na Michezo, Dkt. Harrison Mwakyembe (hayupo pichani)
wakati waziri alipokuwa akizindua kamati hiyo mapema hii leo jijini Dar
es Salaam.

Waziri wa habari, Utamaduni, Sanaa
na Michezo, Dkt. Harrison Mwakyembe (katikati) akiwa katika picha ya
pamoja na Kamati ya kusimamia haki za kazi za wasanii nchini mara baada
ya kuizindua mapema hii leo jijini Dar es Salaam
Picha na WHUSM – Dar es Salaam.
No comments :
Post a Comment