
Kaimu Mwenyekiti wa Kamati ya
Kudumu ya Bunge ya Bajeti Mhe. Adadi Rajabu (katikati) akieleza jambo
wakati Kamati hiyo ilipotembelea Kituo cha Taifa cha kuhifadhi taarifa
(NIDC) ambacho kipo chini ya usimamizi wa Shirika la Mawasiliano
Tanzania (TTCL) Jijini Dar es Salaam. Kulia kwake ni Waziri wa Ujenzi,
Uchukuzi na Mawasiliano Mhe. Isack Kamwelwe, Kushoto kwake ni
Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Mawasiliano Tanzania (TTCL) Bw. Waziri
Kindamba na wengine ni Wajumbe wa Kamati hiyo.

Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na
Mawasiliano Mhe. Isack Kamwelwe akifafanua jambo mbele ya Wajumbe wa
Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Bajeti wakati Kamati hiyo ilipotembelea
Shirika la Mawasiliano Tanzania (TTCL) kujionea uendeshaji wa Shirika
hilo.

Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la
Mawasiliano Tanzania (TTCL) Bw. Waziri Kindamba akielezea jambo mbele ya
Wajumbe wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Bajeti wakati Kamati hiyo
ilipotembelea Shirika la Mawasiliano Tanzania (TTCL) kujionea uendeshaji
wa Shirika hilo.

Mjumbe wa Bodi ya Wakurugenzi ya
Shirika la Mawasiliano Tanzania (TTCL) Bw. Mohammed Khamis Omar
akielezea jambo mbele ya Wajumbe wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Bajeti
wakati Kamati hiyo ilipotembelea Kituo cha Taifa cha kuhifadhi taarifa
(NIDC).

Mbunge wa Buhigwe na Mjumbe wa
Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Bajeti Mhe. Albert Ntabaliba akichangia
jambo wakati Kamati hiyo ilipotembelea Kituo cha Taifa cha kuhifadhi
taarifa (NIDC).
PICHA NA BUNGE
No comments :
Post a Comment