
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na Watendaji wa
Kata zote za mikoa ya Tanzania Bara Ikulu jijini Dar es Salaam.

Watendaji wa Kata zote za mikoa ya
Tanzania Bara wakiimba Wimbo wa Taifa kabla ya kuanza kwa Mkutano wao
na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe
Magufuli Ikulu jijini Dar es Salaam.

Watendaji wa Kata zote za mikoa
ya Tanzania Bara wakifurahia jambo wakati walipokuwa wakimsikiliza Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli
Ikulu jijini Dar es Salaam.

Sehemu ya Watendaji Kata wakiwa
katika mkutano wao na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa
Dkt. John Pombe Magufuli Ikulu jijini Dar es Salaam.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwasikiliza Watendaji wa
Kata katika Mkutano na Watendaji hao wa Kata zote za Mikoa ya Tanzania
Bara Ikulu jijini Dar es Salaam. Kushoto ni Katibu Mkuu Ikulu Dkt. Moses
Kusiluka

Baadhi ya Watendaji Kata kutoka
mikoa mbalimbali wakizungumza katika mkutano wao na Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli Ikulu jijini
Dar es Salaam. PICHA NA IKULU
PICHA NA IKULU

No comments :
Post a Comment