Spika wa Bunge na Mwenyekiti wa
Bodi ya Uwekezaji ya Chama cha Mabunge ya Nchi za Jumuiya ya Madola
(CPA), Kanda ya Afrika , Mhe. Job Ndugai wa pili (kulia) akizungumza
katika kikao cha Kamati ya Utendaji ya CPA, Kanda ya Afrika, anayefuata
kulia kwake ni Mwenyekiti wa Kamati ya Utendaji ya CPA, Mhe. Justin
Muturi, Naibu Mwenyekiti wa Kamati hiyo, Mhe. Aaron Mwansa Mbulakulima,
Mhe. Emilia Monjowa Lifaka, Mwenyekiti wa Kamati ya Utendaji wa Chama
cha Mabunge ya Jumuiya ya Madola Kimataifa (CPA – INTERNATIONAL),
Mhe.Elijah Okupa, Naibu Mweka Hazina wa CPA Kanda ya Afrika na kushoto
kwa Mhe. Spika ni Katibu wa CPA Kanda ya Afrika, Ndugu Stephen Kagaigai.
kikao hicho kimefanyika katika Hoteli ya Madinat Al Bahr Business and
Spa Hoteli iliyoko visiwani Zanzibar

Viongozi mbalimbali wa Chama cha
Mabunge ya Jumuiya ya Madola (CPA)Kanda ya Afrika wakiwa katika kikao
cha Kamati ya Utendaji ,wa kwanza kulia ni Katibu wa CPA Kanda ya
Afrika, Ndugu Stephen Kagaigai, Mhe. Job Ndugai, Mwenyekiti wa Bodi ya
Uwekezaji ya Chama cha Mabunge ya Nchi za Jumuiya ya Madola (CPA), Kanda
ya Afrika , Mhe. Justin Muturi Mwenyekiti wa Kamati ya Utendaji ya CPA,
Kanda ya Afrika, Mhe. Aaron Mwansa Mbulakulima, Naibu Mwenyekiti wa
Kamati ya Utendaji ya CPA Afrika, Mhe. Emilia Monjowa Lifaka, Mwenyekiti
wa Kamati ya Utendaji ya CPA Kimataifa (CPA – INTERNATIONAL) na Mhe .
Elijah Okupa, Naibu Mweka Hazina wa CPA Kanda ya Afrika .Kikao hicho
kimefanyika katikaa Hoteli ya Madinat Al Bahr Business and Spa Hoteli
iliyoko visiwani Zanzibar

Mwenyekiti wa Kamati ya Utendaji
ya Chama cha Jumuiya ya Madola (CPA) Kimataifa (CPA – INTERNATIONAL),
Mhe. Emilia Monjowa Lifaka, akizungumza katika akizungumza katika kikao
cha Kamati ya Utendaji ya CPA, Kanda ya Afrika, anayefuata kushoto kwake
ni Mhe. Aaron Mwansa Mbulakulima, Naibu Mwenyekiti wa Kamati ya
Utendaji ya CPA Afrika, Mhe. Justin Muturi Mwenyekiti wa Kamati ya
Utendaji ya CPA, Kanda ya Afrika Mhe. Job Ndugai, Mwenyekiti wa Bodi ya
Uwekezaji ya CPA Afrika, Ndugu Stephen Kagaigai, Katibu wa CPA Kanda ya
Afrika na kushoto kulia kwa Mhe Lifaka ni Mhe . Elijah Okupa, Naibu
Mweka Hazina wa CPA Kanda ya Afrika.

Mweka Hazina wa CPA Kanda ya Afrika. Kikao hicho kimefanyika katika
Hoteli ya Madinat Al Bahr Business and Spa Hoteli iliyoko visiwani
Zanzibar
No comments :
Post a Comment